Ni njia sahihi ya kuambatana na utakatifu na kuish maisha yaki Mungu.
na kujipanga na maisha ya baadaye ya ndoa takatifu. Ila nmefurahi kumpata mwenza Mbaga Jr kwa hiyo sipo mwenyewe. tafuta hela ngono mbaya kwa nini upoteze nguvu zako za kiume kutafta ngono tafta hela. Kwa nini upoteze usichana wako kwa midume alafu wa kuzalishe wakukimbie.