Buenos noches
Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake pia blog yake ya millardayo.com tunapata updated news
Awali nilifikiri millard anatuhabarisha au anapost every current news, hachagui habari, last week alipost ishu ya alikiba na mikataba ya sony. Vilevile alipost diamond na deal ya redgold tomato. Ila nimepata wasiwasi pale ambapo hajapost anything about LADY JAYDEE na show yake, hata highlights hakuna. Inamaana AyoTV ni ya ruge au kwenye mikataba ya clouds kwa wafanyakazi wake kuna clause yakumzuia staff kujihusisha na habari zozote za lady jaydee.
Kwangu naona hapo anakosa ueledi na utashi wa kuchagua habari za kupost, alipost behind the scene za nyimbo ya chura, pia hata ishu cjui ya bday ya dancer wa diamond. Inamaana show ya Jaydee wasn't relevant au!!!!
Note:
Ni mtazamo tu
Sio video zote wanalipia kaka.
Pia mwisho wa siku kumbuka haya mambo yanakua na copyright.Buenos noches
Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake pia blog yake ya millardayo.com tunapata updated news
Awali nilifikiri millard anatuhabarisha au anapost every current news, hachagui habari, last week alipost ishu ya alikiba na mikataba ya sony. Vilevile alipost diamond na deal ya redgold tomato. Ila nimepata wasiwasi pale ambapo hajapost anything about LADY JAYDEE na show yake, hata highlights hakuna. Inamaana AyoTV ni ya ruge au kwenye mikataba ya clouds kwa wafanyakazi wake kuna clause yakumzuia staff kujihusisha na habari zozote za lady jaydee.
Kwangu naona hapo anakosa ueledi na utashi wa kuchagua habari za kupost, alipost behind the scene za nyimbo ya chura, pia hata ishu cjui ya bday ya dancer wa diamond. Inamaana show ya Jaydee wasn't relevant au!!!!
Note:
Ni mtazamo tu
Pia mwisho wa siku kumbuka haya mambo yanakua na copyright.
Kama ataweka video ya lady jay dee kwake na ikawa copyrighted ina maana millard hatafaidika na chochote.
Thats why huoni millard akipost video yoyote ya msanii.. Bali atapost interview.
Sawa ila matangazo ya EA RADIO alilipia kwa nn millardayo amwekee bure?
nani kakwambia huwa apost video za wasanii tatizo hapo ni boss wake sio yyPia mwisho wa siku kumbuka haya mambo yanakua na copyright.
Kama ataweka video ya lady jay dee kwake na ikawa copyrighted ina maana millard hatafaidika na chochote.
Thats why huoni millard akipost video yoyote ya msanii.. Bali atapost interview.
Uoga,ushamba,na kutojiamini anamuogopa boss wake au ananyenyekea yasije yatamkuta ambayo yaliwahi kumukuta kipanyaa na Fina,idris si yupo choice fm aangalie mkataba wake ugomvi wa baba na jilani hauzuii kucheza Kwa jilani