Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,466
nilimpenda tu ambavo hakulipa promo lile bifu kati ta waniger na tz
acha ufala,lini Watanganyika tulikua na bifu na Wanaija?
nyie wapuuzi wa huko mitandaoni ndo mlikua na huo ugomvi wenu wa kijinga.
Njooni kwenye Hatua 3 za maryam kitosi & junior
Upate habari ndio hii
100.5 Times fm
Ni lini kuliwahi kuwa na beef kati ya Wanigeria na Wabongo?
Yani huo ujinga wenu wa Instagram ndio mnataka kuingiza jina la nchi? Kwa nini usiseme tu ni Diamond na wapambe wake?
Ni lini kuliwahi kuwa na beef kati ya Wanigeria na Wabongo?
Yani huo ujinga wenu wa Instagram ndio mnataka kuingiza jina la nchi? Kwa nini usiseme tu ni Diamond na wapambe wake?
Naona clouds wameanza kampeni za ccm...
Tushaachana nao...
View attachment 212137
Fredrick Samuel.?
hawa wazee wetu wanauliza Mbona toka umeondoka nyumbani mpaka leo Zile pesa hujarudisha?
Hujui km Umetuacha na hali ngumu sana kuondoka na mtaji wote wa mzee?
Nimeamua kuweka Picha kabisa ili labda roho yako Irudi fredrick.
Halafu unaamua kujiita Matola kwa nini?
We unafahamu Mama kahifadhiwa tu na huyu bwana. Na hali yakw inakuwa mbaya Kila siku Unavyozidi kuchelewa kuzirudisha hizo pesa.
Naskia Unakula Mirungi kila siku na Kina FAHMI mwarabu .
Mimi km ni ndugu yako nakuomba rudisha huo mtaji wa baba wa shs 600,000 uliokwiba. Maisha yanazidi kuwa magumu mno hapa nyumbani.
Nakuomba sana.
Halafu mwanao SAMIRA umemuacha hapa Sinza hana hata ada ya shule. Umezaa na mwanamke mitaani hata hajulikani mamake yuko wapi. Na juu ya kuwa mwanao yuko hapa lkn pesa umeondoka nazo.
Wako kakako mpendwa Samuel
Hii nini tena...
what happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz mara Diamond this mara Diamond that ujinga mtupu, come on Millard give us break siku hizi kipindi chako kinaboa kinoma ndio maana ikifika saa moja na tune kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio. Nimebakiwa na vipindi vitatu tu Clouds Radio, Power Breakfast, XXL, Jahazi na Sports Extra na kile So So Fresh cha madafada Fetty.