Na support, I am a good listener wa clouds FM, yaani cjui lakini ndio redio pekee ninayo sikiliza. Lakini for sure inaanza loose taste especially hiki kipindi cha amplifier, ni kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku. Lakini cha kushangaza more than ONE HOUR NA ROBO ni playlist tu(nyimbo) 15 min matangazo alafu only 30 mins ndio hzo habari kumi. Na nyingi utasikia Uganda mara Kenya of which kama mtu unasikiliza redio zao au unfollow they social media basi ni kama repetition. HAKUNA EXCLUSIVE/ FRESH NEWS , Millard akiwa south africa basi tunapewa habari karibia zote za huko tu. Haipiti siku mbili bila taarifa za diamond, na leo natabiri habari ya kwanza utasikia kama c kupokelewa na limo kwa diamond huku UG na zari basi yaliyojiri msiba wa aisha