Ushindani wa radio Bongo ni mdogo mno.........hatuna watangazaji wabunifu zaidi ya kuigana .....alafu hapo Clouds siku hizi matangazo imekuwa zaidi ya kero .......unaweza kutoka Posta hadi mwenge ni matangazo tu ..........alafu hata kipindi cha Millard walau unaweza kuwa makini anapozungumza lakini muda anaotumia kuzungumza au kufanya mahojiano ni mdogo mno........kipindi kimejaa matangazo ......muziki wa back to back hadi inaboa ...........
lazima ajitahidi kipindi kiwe busy kidogo ........kwa mahojiano yanayohusu stori zake ........lakini pia DJ awe na muda wa kutosha kupiga muziki ........mtu kama DJ Too Short akipewa nafasi kila baada ya Millard kuzungumza kipindi kitachangamka ..........sasa hivi tunawasikiliza sababu ya ushindani mdogo sana wa radio nyingine .....huu ndio ukweli lakini ubora wa vipindi vingi Clouds umeshuka sana .......radio nyingine ndio kabisaaa ni copy and paste .......
Choice fm ndio radio bora kwasasa .....tatizo ipo kwenye frequency zetu zileeeee ..............
Choice fm n radio mama ya clouds fm...hata baadhi ya watangazaji wanashare...
Nafahamu mkuu......lakini Choice hii naifananisha na Clouds ile ya akina Jimmy Kabwe .....Clouds ya sasa inasikilizwa kwavile ushindani ni mdogo .....lakini ikija radio serious .....tutaisahau kabisa .........
umelazimishwa kusikiliza?
Hapana aisee cloud ni wapuuz sana mi binafsi sijawah sikiliza radio hiyp..ni RFA mwanzo mwisho
Hata kama hajaupata mie nitamfikishia........
Shem anajua kuhusu hayo uliyoongea?
Nimeshamwambia, usihangaike kumjuza tena 😉
Aaah sitaki umpe tabu shem wangu mie loh
Hoja yako ni ya kijinga, yaani wasipige matangazo? halafu wafanyakazi wa clouds utakuwa unawalipa wewe?Ushindani wa radio Bongo ni mdogo mno.........hatuna watangazaji wabunifu zaidi ya kuigana .....alafu hapo Clouds siku hizi matangazo imekuwa zaidi ya kero .......unaweza kutoka Posta hadi mwenge ni matangazo tu ..........alafu hata kipindi cha Millard walau unaweza kuwa makini anapozungumza lakini muda anaotumia kuzungumza au kufanya mahojiano ni mdogo mno........kipindi kimejaa matangazo ......muziki wa back to back hadi inaboa ...........
lazima ajitahidi kipindi kiwe busy kidogo ........kwa mahojiano yanayohusu stori zake ........lakini pia DJ awe na muda wa kutosha kupiga muziki ........mtu kama DJ Too Short akipewa nafasi kila baada ya Millard kuzungumza kipindi kitachangamka ..........sasa hivi tunawasikiliza sababu ya ushindani mdogo sana wa radio nyingine .....huu ndio ukweli lakini ubora wa vipindi vingi Clouds umeshuka sana .......radio nyingine ndio kabisaaa ni copy and paste .......
Choice fm ndio radio bora kwasasa .....tatizo ipo kwenye frequency zetu zileeeee ..............
Milad ayo pimbi kabsaa anatuaibisha watu wa chuga maneno ya kiswahil sana na ngoja atapata kiboko yake baada ya kipind kukosa mvuto View attachment 211692
Mie nimebakiwa na vipindi viwili tu.
1. Sports Xtra
2. Easy Sunday