Millard ayo na mr 2 a.k.a sugu

Millard ayo na mr 2 a.k.a sugu

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
Jana usiku kwenye kipindi cha Amplifire cha Radio Clouds nilishangazwa na kitendo cha Millard Ayo kupiga wimbo wa 'Hakuna Matata' wa Mr. II a.k.a Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini. Na si jana tu hata leo pia Millard Ayo amepiga tena wimbo huu.
Uenda ukaniuliza nini kilinishangaza,lakini ni kutokana na kutokuwepo kwa maelewano kwa miaka kadhaa sasa kati ya uongozi wa clouds. Na hata nyimbo zake uwa hazichezwi na kituo hiki cha Radio,pamoja na nyimbo za wasanii wenzie wa kundi lake la Vinega. Na si kawaida pia kwa watangazaji wengine wa Clouds kupiga nyimbo za Sugu.
Nampa Hongera Millard Ayo na ninamtabiria atafika mbali sana,kwa sababu anaonekana kusimamia kile anachoamini. Na hata blog yake ya Millard Ayo ni moja ya blog ambazo kwa upande wangu ninaziona ni bora.

sikiliza wimbo wa 'Hakuna matata' wa Sugu hapa Listen to SUGU-HAKUNA MATATA (PRODUCED BY ASHVIN & HERMY B) on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
 
Nauchukia sana huu mstari.

huo mstari ndio utaompoteza Roma kwenye muziki mazima.historia inazungumza ivyo.

Kumbuka nyimbo kama 'piga manati' ya Gk, 'mimi' ya Oten, 'ndoa haina doa' ya Inspekta, 'manuva' Joh Makini, 'wamechokoza' ya Ney wa Mitego na nyingine kama izo..nyimbo za mtindo huu huwa zinatokea kuwa gumzo sana kwa muda mfupi lakini zinapopotea huwa zinaondoka na msanii husika..huu ndio mwisho wa Roma,wapenzi wake wanaweza wasiamini ili lakini kuna siku mtaikumbuka hii post.
 
Roma mngese yule hana lolote akaimbe taarabu maku mkubwa!
 
Dunia haishi vituko, leo millard ayo anasifiwa kwakuwa amepiga wimbo wa sugu, kesho akisema kisichowapendeza cdm atayakoga matusi humu akimbie.haya tutawakumbusha....
 
huo mstari ndio utaompoteza Roma kwenye muziki mazima.historia inazungumza ivyo.

Kumbuka nyimbo kama 'piga manati' ya Gk, 'mimi' ya Oten, 'ndoa haina doa' ya Inspekta, 'manuva' Joh Makini, 'wamechokoza' ya Ney wa Mitego na nyingine kama izo..nyimbo za mtindo huu huwa zinatokea kuwa gumzo sana kwa muda mfupi lakini zinapopotea huwa zinaondoka na msanii husika..huu ndio mwisho wa Roma,wapenzi wake wanaweza wasiamini ili lakini kuna siku mtaikumbuka hii post.

ROMA hakuna kitu, ni mtu wa kuropoka na anachosha masikio...mtu atashangaa kwa nini naona roma hana uwezo, na naweza sema sio msanii sababu anavyosema hata kama sio msanii mtu yeyote anaweza kuongea..saa zingine naona Tanzania hakuna wasanii wanaoweza kuleta mawazo katika namna iliyosanifiwa...nadhani ROMA ajipange upya awasikilize akina Jay Z, akina PAC, akina NAS anaweza akaokota kitu.. Pia amsikilize prof Jay au Fid Q
 
[h=3]Mh Sugu anatisha

MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B[/h]

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B' Simwinga.

Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.
izo-1.jpg

izo-2.jpg

[h=3]Mh Sugu anatisha

MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B[/h]

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.

Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.
izo-1.jpg

izo-2.jpg

Safi sana. Inapendeza kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bifu kati ya Sugu na Clouds mbona iliisha na clouds ndo wakaanza kupiga nyimbo za Sugu.
 
ROMA hakuna kitu, ni mtu wa kuropoka na anachosha masikio...mtu atashangaa kwa nini naona roma hana uwezo, na naweza sema sio msanii sababu anavyosema hata kama sio msanii mtu yeyote anaweza kuongea..saa zingine naona Tanzania hakuna wasanii wanaoweza kuleta mawazo katika namna iliyosanifiwa...nadhani ROMA ajipange upya awasikilize akina Jay Z, akina PAC, akina NAS anaweza akaokota kitu.. Pia amsikilize prof Jay au Fid Q

hiphop yahitaji utayarari kusikiliza ile sio taarab
 
ROMA hakuna kitu, ni mtu wa kuropoka na anachosha masikio...mtu atashangaa kwa nini naona roma hana uwezo, na naweza sema sio msanii sababu anavyosema hata kama sio msanii mtu yeyote anaweza kuongea..saa zingine naona Tanzania hakuna wasanii wanaoweza kuleta mawazo katika namna iliyosanifiwa...nadhani ROMA ajipange upya awasikilize akina Jay Z, akina PAC, akina NAS anaweza akaokota kitu.. Pia amsikilize prof Jay au Fid Q

Naungana na wewe kwa asilimia mia pale hakuna kitu delivery ya messege mbovu haina ubunifu hata mimi nishawahi wambia humu waangalie mashairi ya jayz, akina nas ndipo wataelewa kwamba roma hana jipya.
Niliwapa mfano wa wiimbo kama forever young wa jay z ule wimbo umejaa messege ambayo msikilizaji inamfanya afikirie mpaka kuja kuelewa jamaa anajaribu kukueleza nini, mtandaoni ilizua mjadala kila mtu akijaribu kueleza nini jamaa anajaribu kueleza sasa huo ndio mziki si kututajia majina na style moja ya flow ka ya kuku
 
Roma kashamaliza majina ya wanasiasa wote maharufu tusubiri ngoma ijayo sijui atamchana nani..sijui Hasheem thabit sijui mnyika au siju mzee mwanakijiji.
 
huo mstari ndio utaompoteza Roma kwenye muziki mazima.historia inazungumza ivyo.

Kumbuka nyimbo kama 'piga manati' ya Gk, 'mimi' ya Oten, 'ndoa haina doa' ya Inspekta, 'manuva' Joh Makini, 'wamechokoza' ya Ney wa Mitego na nyingine kama izo..nyimbo za mtindo huu huwa zinatokea kuwa gumzo sana kwa muda mfupi lakini zinapopotea huwa zinaondoka na msanii husika..huu ndio mwisho wa Roma,wapenzi wake wanaweza wasiamini ili lakini kuna siku mtaikumbuka hii post.
huo mstari unamcost sana huyu kijana, naona tuzo y kilimanjaro ilimvuruga ufahamu kabisa!
 
Back
Top Bottom