Millard Ayo Blog imepata kwikwi?

Millard Ayo Blog imepata kwikwi?

Haijawa hacked, ni uzembe wake kutokuweka kumbukumbu.... Naninawezekana ameacha kubackup siku za karibuni....
 
ni kweli mkuu asubuh ya leo nilitaka kusoma vichwa vya habari nashangaa inaleta taarfa za tar 11 mwez huu
 
labda yeye ndo kila kitu ... haya mambo mengine yanahitaji team kabambe ya ku assist 24hrs.

au alikuwa anafanya mazoezi.. hope kama sever yake ipo powa mambo yatakuwa kama inavyotakiwa
 
Leo majira ya kuanzia saa 12:00 asubuhi blog ya milardayo ilizimwa kabisa..sasa wamefanikifwa kuirudisha lakini imepoteza kumbukumbu inaleta habari za zamani kabisa na zingine zimepotea..tatizo hili lilishawahi tokea pia hapa Jf...


ushauri
muwe mnabackup data zote siku moja mtafutiwa kila kitu
Nimeingia kusoma magazeti napata ya 15 may 2017
nikipata shida nkasepa
 
yaani nimechukia ile mbaya nafungua magazeti nakuta habari ya ajali ya lucky Vicent nikajiuliza jamaa katoa kafara tena ?
 
MITANDAO YA KISHILAWADU HIYO HAINA MBAYA HATA IKIDUKULIWA WATAKACHOAMBULIA NI UMBEA
 
  • Thanks
Reactions: SDG
isije ikawa ina uhusiano na mambo ya akashia yanayoendelea
 
54736e78f671c208b43cef618b0d946e.jpg
 
-Leo haipo updated kabisa(yawezekana ni matatizo ya kiufundi)

-Vile viblog uchwara ambavyo huwa vinakopi magazeti kutoka MillardAyo.com leo hawajaweka magazeti

-Nimecheki viblog vyote sijaona magazeti ya leo except blog ya Michuzi tu pekeyake ndiyo kayaweka

Mytake; Mjifunze kuwa utegemezi haufai kuweni wabunifu kama MillardAyo
Anatafuta Noah yake
 
Back
Top Bottom