Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Tembeleeni blog ya Le mutuz mtapata habari
Watu wengi ni wanafiki sana,
hata clouds wengi wanajifanya wanaiponda na kutoiskiliza,
lakini siku ikikata matangazo japo kwa masaa mawili utakuta hao hao wanakuja humu kujaza thread...
Sasa unajiuliza kama kitu haukifuatili inakuaje taarifa zote mpya mpya unazipata na zinakuathiri?
[HASHTAG]#BeHumble[/HASHTAG]
Hata Tbc watu wanajifanya wanaiponda na kutokoiskiliza.Watu wengi ni wanafiki sana,
hata clouds wengi wanajifanya wanaiponda na kutoiskiliza,...