The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Ngada hela yake ya kawaida sana. Bora mtu ujikite tu kwenye biashara ya mayai ya kware na matikiti. Masogange alikuwa anabeba magunia na magunia ya ngada lakini laifu yake ilikuwa ya kawaida tu.Kuna masnitch watanusa harufu ya ngada
Kumbe masogange alikuwa anabeba magunia tumboniNgada hela yake ya kawaida sana. Bora mtu ujikite tu kwenye biashara ya mayai ya kware na matikiti. Masogange alikuwa anabeba magunia na magunia ya ngada lakini laifu yake ilikuwa ya kawaida tu.
Myebusi acha tu. Kumbe nkoaranga unapafaham AiseeMkaldayo kumbe huyo chalii ya nkoaranga ana kimango shazi namna hiyo?
Per month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandaoMkaldayo kumbe huyo chalii ya nkoaranga ana kimango shazi namna hiyo?
Naachaje kupafahamu asee? Mimi Meru yote naijua fresh.Myebusi acha tu. Kumbe nkoaranga unapafaham Aisee
Hongera sana kwao. Nadhani ingefaa sasa wakatoa elimu kwa vijana jinsi ya kuziona fursa zilizopo kwenye hii sekta ili vijana waweze kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa.Per month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandao
Dah Aisee pale sing'isi na ndugu kibaoNaachaje kupafahamu asee? Mimi Meru yote naijua fresh.
Sema machalii wa Sing'isi wakorofi sana Mgerasi. Enzi tunaskuli hapo USA ukiwazingua inakula kwako.Dah Aisee pale sing'isi na ndugu kibao
Mimi pia nilitaka kujua hilo, kwanini aendelee kuwa mtumwa wa mtu wakati ana uwezo wa kutosha kufanya yake na kuajiri zaidi na zaidi...?5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Mungu amuongezee utajiri. Ni furaha na jambo la heri Sana nchi ikiwa na mabilionea vijanaOne of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.
Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.
Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.
Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.
Ila wakikujua hawakusumbui hata ukikutana nao usiku hawatakudhuru. Lima sana nyanya sadekSema machalii wa Sing'isi wakorofi sana Mgerasi. Enzi tunaskuli hapo USA ukiwazingua inakula kwako.