nimeisikia live redioni sasa hivi faruq karim akiripoti kuwa imetokea milipuko kwanza hoteli ya forodhani kisha muda mfupi tena kwenye lango la kanisa la anglikani mkunazini huko zanzibar. Walioko huko watatujuza zaidi
source: Radio one zilizotufikia
====
hakuna majeruhi