Milipuko Mikubwa yarindima Kibamba...

Kibamba ndo wapi wakuu!!? Mtoa mada unaelezea mvua inavonyesha lakini umeshindwa kuelezea location ya kibamba!! Very pathetic!!

duh!..hii ndo JF!
Nadhani kijana ame asume wote ni wa daslamu...kumbe humu ni CHANGANYIKENI..ushirombo pia tumejitupiamo humu.
 
kama mvua ilikuwa inanyesha jibu lake hizo ni radi zimepiga na tanesco wamezima umeme kwa sababu wana vifaa chakavu so wanaohofia vinaweza kuungua sababu ya radi. mia
 
hakuna hatari huko,yalikuwa mazoezi na kuwazoesha raia milio ya namna hiyo...
 

Hiyo milio nimeisikia majira ya alfajili kati ya saa kumi kamili na kumi na moja kasorobo pande za kibamba/ kibaha but sounded like a destruction of a big building and not bomb blast!!
 
jamani kuna tetesi za kulipuka kwa mabomu usiku wa kuamkia leo,yeyote mwenye kujua/kusikia chochote atujuze.
 
Hebu Laleni Acheni woga Transformer zimezidiwa zimebutuka moja baada nyingine ....somalia mtakaa kweli nyinyi ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Nisaidieni kupata tenda ya kuagiza transfoma, ni imara kabisa kutoka Iran lol!
 
Yalikuwa ni mambomu kweli kwani kwa ndani kuna kambi na wenyewe wanadai walikuwa wanayategua ila najiuliza kama walikuwa wanayategua ama kuyalipua kwanini hawakutoa taarifa kwa wananchi wanategua kimya kimya??

Kibamba jana watu wamelala kimashaka sana sababu ya hiyo milipuko na wanadai wataendelea kuyategua kwaniinasemekana yameisha muda wake wa matumizi kwa hiyo tusubiri kuona mengi.
 

Husein mwinyi sio waziri wa ulinzi
 
Still unconfirmed news? Think by now we should have confirmation of what happened or vice versa.
 
Mkuu huna updates?? Jamaa mbona alishaondolewa wizara hiyo muda mrefu??
 
Mlipo mdogo tu watu wameishakuwa na uoga je vita vikianza itakuaje.
 
Aiseeeee baba yangu uko kwenu tanzania akuishi vituko..mara rushwa mara migomo poleni

sisi tunaendelea na mbege zetu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…