Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
milipuko inayodhaniwa kuwa ni ya mabomu inaripuka sasa hivi maeneo ya Kibamba.
Umeme umekatika na hali ni ya wasiwasi...
Mlipuko ni wa 4 sasa.
Nje manyunyu ya Mvua yanadondoka huku kukiwa hakuna ripoti kamili.
Maeneo ya Karibu kuna kambi ya jeshi...
the sagga continua...
Poleni labda wanafanya mazoezi ya vita si lowassa kasema tumejipanga kivifaa?
Kibamba ndo wapi wakuu!!? Mtoa mada unaelezea mvua inavonyesha lakini umeshindwa kuelezea location ya kibamba!! Very pathetic!!
Kibamba is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 17,998. Source: Wikipedia!Kibamba ndo wapi wakuu!!? Mtoa mada unaelezea mvua inavonyesha lakini umeshindwa kuelezea location ya kibamba!! Very pathetic!!