Milioni thelathini (30,000,000 Tshs)

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
IMG_9035.jpg

Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd ,Mama Rahma Al Kharous katikati akizungumza na wanahabari leo juu ya udhamini wake wa shilingi mil. 30 kwa ajili ya ukarabati wa msikiti wa Al - Auwariyya uliopo eneo la Gongoni,Bagamoyo.

Source: Michuzi

Tunakushukuru sana mama Rahma Al Kharous, ila wakati mwingine toa michango ya kujenga shule na hospital.
 
hivi hajawahi kuchangia shule wala Hospital?
 
Kwa kuchangia misikiti hawako nyuma ila shule mmmh! Kijijini kwetu walijenga msikiti wakati watu wa kuswali hawapo. Matokeo yake majani yanaota hadi ndani ya msikiti wenyewe!Anayetaka kwenda kung'oa hayo majani ani PM nimwelekeze ulipo ni kando ya Tanzania Zambia Road
 
Hahahaha kwanini wasibadili kwa kazi mbadala huo msikiti?
 
Vifo vya vichanga chini ya miaka 5 na akina mama wakati wa kujifungua ikoje katika Mkoa ya Pwani na hasa wilaya ya Bagamoyo? Yeyote mwenye takwimu atusaidie kidogo hapa.

Vile vile si vibaya tukiangania alama za idadi ya watoto wanajiandikisha na kumaliza shule ya msingi, wanaofanikiwa kuingia vyuoni na kipato cha mwananchi mmoja mmoja katika maeneo hayo hayo walau kwa kipindi cha miaka 10 tu.

Baada ya hapo sasa tukubaliane kukubaliana kwamba vipaumbele vya mkoa huu utakua katika maeneo gani hasa kuhitaji msaada zaidi.
 
kwakweli hii misadaa wakati mwingene inakwenda icpoitajika sana wapo wengi wanakufa mahospitalini kwa kukosa garama kidogo za kuchangia kunawengine hawana shule kabisa lakini uwezi kumpangia m2 na pesa yake
 
Kwa kweli umeandika cha maana hiyo picha mimi inanipa tafsiri mingi sana! Hebu muone huyo Imam wa kwanza kushoto anakitambi kikubwa mno bila sha ananufaika na hii misaada bila jasho yaani bwerere!
 
nampongeza kwa kutoa msaada wa msikiti ili watoto wasome madrasa. elimu dunia haina maana,wasome hao wakristo wanaojifanya wanaongoza nchi.hospitali na mashule yapo kwa wakristo zinatosha sisi misikiti bado haitoshi na pia nsipotoa msikitini ntapata wapi thawabu wajamini? na pia ntasifika wapi?
 
Asante ndugu! Andika kwa herufi kubwa
 
hivi hajawahi kuchangia shule wala Hospital?
Mkuu kituko unampngia mtu kutoa mchango wake? Yeye si afadhali amejitahidi kutoa huo msaada wake na Mwenyeezi Mungu atamlipa huo wema wake je Serikali yako inatowa Msaada gani kuwasaidia Wananchi walala hoi hawana Maji Safi wala Umeme?
 
Kwa kuchangia misikiti hawako nyuma ila shule mmmh! Kijijini kwetu walijenga msikiti wakati watu wa kuswali hawapo. Matokeo yake majani yanaota hadi ndani ya msikiti wenyewe!Anayetaka kwenda kung'oa hayo majani ani PM nimwelekeze ulipo ni kando ya Tanzania Zambia Road
Sema huo Msikiti upo wapi? tupate kujuwa? usizunguımze mambo ya uongo tunataka ushahidi mkuu
 
Back
Top Bottom