Milioni 60 inatosha kuagiza range rover sport from uk..


Majibu ya kutia moyo haya....kila mtu anatamani kutembelea Evoque,BMW etc bwana tuwe wakweli ndio njia pekee ya kutiana moyo km sio mimi ni wewe utafikia lengo.
 
Majibu ya kutia moyo haya....kila mtu anatamani kutembelea Evoque,BMW etc bwana tuwe wakweli ndio njia pekee ya kutiana moyo km sio mimi ni wewe utafikia lengo.

Kila mtu?

Hata Ganesh?

Ulimwengu unaokaa wewe watu wooote wanafikiria sawa?
 
Halafu I am smart enough not to buy such depreciating assets brand new.

That's the thing with whips. I just got one back in June and a couple weeks ago I went in wanting to trade it in and dude said I have significant negative equity already. My jaw about dropped. But I should have known better.
May end up buying one for a lucky girl, this way I have access to it but I don't have it

Hahahaa...must be nice.
 
Im no fan wa hii tabia ya waafrika (indeed,ya watu ambao tumezaliwa kwenye background za kimaskini); lakini nakuunga mkono kwenye suala la conciousness na responsibility ya kiwango cha "beyond prestige even-when-one-can-afford". Kweli "smart is new rich" as you put it. Gary Neville anaplan kujenga eco-home ambayo kwakweli "haina mvuto" kwa mtazamo kama wangu ambaye ningeokota walau 1% ya fortunes zake ningeporomosha sky scrapper mwituni.
 
Hehehe, Mkuu Kivitz Nimetolea mfano tu kaka.. Mi siendieshi Hiyo Kitu kaka... hahaha nimejikakamua kidogo nipo kwenye Xtrail... Na Najitahidi Kujaza tank, Na likifika Nusu Narefill tena... Kwasababu najua Mafuta Yanatumiza zaidi yakiwa Nusu Tank kwenda chini.. Yakiwa Over Half hata consumption yake inakuwa safi tu.
Lakini Kusema kweli kaka Wanaonunua Range kwa hela za mkupuo halaf wananusa matank na Kuwaza kila wakiingia gas Stop nawaonea huruma sana.. hahah Stress Za kujitakia hizo...
Bora wangekomaa na Investments halaf mambo yakishakaa sawa ndio waendane na maisha wanayoyataka...
Range kwa Mshahara kama sio wa kimei unajitesa tu... lol
 
Wakuu poleni na majukumu, nina swali kidogo hivi kwa mil 60 ninaweza kuagiza range rover sport from uk...? Nikimaanisha mpaka kulipia kodi kila kitu.....inaweza kutosha ?......nisaidieni wakuu

Here we go; let us get some facts:






Suppose unataka RRS ambayo ni Diesel ambayo haitakula mafuta sana lakini pia iko katika hali nzuri:

Land Rover Range Rover Sport 2.7 TDV6 HSE 5DR AUTO LEFT HAND DRIVE; £13,974;
2006 (06 reg), 4x4


Ukishanunua UK (Autotrader: Auto Trader UK) shipping na gharama ndogo ndogo ni kama GPB 1300.

Ikifika DSM TRA of course wanakusubiri na hawana huruma. Kwa formula yao mpya hawaangalii thamani ya gari, wanafanya calculation ya Depreciation. So hii ya Mwaka 2006 wataivalue GBP 22,000 japokuwa umenunua GPB 14,000 na haina mjadala.

Kulipa Tax; Storage; ni kama 55% ya thamani waliyofanyia assesment: that means 55% ya GPB 22,000 ambayo ni sawa na GPB 12,1000.

So mpaka gari inatoka bandarini utakuwa umetumia: GPB 14,000 uliyonunulia + GPB 12,1000 uliyonunulia: sawa na GBP 26,100. Kwa BoT Exchange rate ya 2530 ina maana thamani yake ni TZS 66,033,000.

Ukiweka insurance Comprehensive ni kama TZS 2.5 Million + Service ya kwanza ya nguvu kuipiga soap sopa nakadhalika weka kam TZS 70 Million.

So, next time ukimwona jamaa ana RRS na hajajachakachua chochote i.e tafadhalie Mwamkie Shikamoo!! Mpe heshima yake.

Of course ukinunua hapa DSM kwenye Show Rooms zinaanzia TZS 100 Million. Ukipata kwa mtu binafsi ataanzia Million 80 unless kama imemshinda.

Kuhusu ulaji wa mafuta, of course kuku anakula sawa na mdomo wake! RRS Diesel zina capacity ya 2700 CC lakini Petrol zina CC kuanzia 4200 CC. So muziki wa Petrol ni mkubwa kuliko Diesel.

This is the most latest information!
 

Mkuu, kama wewe ni mtumiaji wa haya magari kwa muda mrefu na unayapenda mbona hiyo si issue? Maintenance kwa any European Car au American Car iko juu.

Kuhusu brake kuna wajajna wapo wanakuwekea hata za Discovery? Suspension? Wajanja huwa wanaweka Coil. Afterall confort level inabaki pale pale na hakuna mtu anajua umefanya nini.
 

katika JF Mtu aliefanya StaTistic kama hii hakuna Ndugu yangu Superman Nakukubali Heshma kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…