Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Weka kwenye boda boda mpe dereva mwenye familia mpe mkataba alafu nyingne endesha mwenyew kwa mwezi 520k au zaidi usiope ndani miezi 9 utafikia melengo yako kumbuka uvumilivu mkubwa unatajika kufikia malengo watu jenga kupitia boda boda
 
Chukua hapo 10K chap, agiza mdudu kilo moja na Serengeti mbili baridi ,piga msosi ukimaliza uanze kutafakari
 
Shika Moja fanya moja, Malizia nyumba kwanza utapata utulivu wa akili HUWEZI kufa njaa maana nyumba huongeza uaminifu kwa Jamii.

Ukienda bodaboda ukapata ajali ya miguu utaanzaa KULIALIA n'gombe wa maskini hazai kumbe wenge lako mwenyewe.
Asante mkuu ushauri mzuri aisee
 
Fanya Finishing Kausha zako,ukipata hela haina kazi

Yani hata kama ikatokea umeziweka mahali ukaja ukakuta

Mchwa wamezila roho haitokuuma ndio ununulie boda boda hy hela.

Ila kwa sasa hivi kwakua macho akili roho damu zipo kwenye hyo 4.5 basi fanya finishing.
Asante mkuu ushauri mrua sana
 
Fanya Finishing Kausha zako,ukipata hela haina kazi

Yani hata kama ikatokea umeziweka mahali ukaja ukakuta

Mchwa wamezila roho haitokuuma ndio ununulie boda boda hy hela.

Ila kwa sasa hivi kwakua macho akili roho damu zipo kwenye hyo 4.5 basi fanya finishing.
Asante mkuu ushauri mrua sana
 
Nunua bodaboda Moja, nyingine weka Benji ndani ya miezi miwwili utakuwa ushapata hela hiyo ulionunulia kama utakuwa unaendesha mwenyewe na kuweka nguvu kwenye kazi yako ya bodaboda Huku ukiwa mbahili WA kiwango cha lami
Asante mkuu ushauri mzuri
 
Kama huja uzoefu na biashara ya boda boda acha kabisa usibeti huko.

Nina uzoefu wa nwaka mmoja sasa nilianza na boda 2 nikiwa na lengo la kuongeza 2 ziwe 4 ila tokea mwaka jana sijaongeza hata nikiokota hela siongezi boda.

Business model ya boda boda ngumu la sivyo uendeshe mwenyewe.
Aisee vp kipato chake mkuu na kwann hutak kuongeza nyingne
 
Back
Top Bottom