Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Soon itakuwa vita ya kikabila ' a Hutu vs tutsi'

Ndio imehanza hivyo, alafu soon utasikia jirani anasema anapeleka wanajeshi wake huko kuzuhia another genocide - kabla hatujatafakali vizuri kinacho endelea atawekwa mwenzao madarakani - Empire ndio ina-evolve taratibu...
 
CE8vpz-VEAEfcFU.jpg
.
wamechafukwa.....

Hapana chezeya yeye......
 
Nipo pamoja na askari watiifu. Mungu awape nguvu waondoe machafuko.
 
hivi anapong'ang'ania kwamba yeye bado ni rais
lakini nchini kwake ameshindwa kwenda maana yake nni???
 
Toka jana nilikwambia, issue ilikuwa bado sana kuconclude


Kwa taarifa yako sehemu zote muhimu sasa zipo chini ya wanajeshi watiifu na uwanja wa ndege umeishaanza kufanya kazi

bado nakumabia waasi wameshachukua nchi. kwa sasa wameshatwaa kituo cha redio na television. Hoa watiifu kwa nkurunzinza ni polisi tu. wanajeshi wote na kambi zote za kijeshi zenye silaha wapo nyuma ya mapinduzi.
 
Ndio imehanza hivyo, alafu soon utasikia jirani anasema anapeleka wanajeshi wake huko kuzuhia another genocide - kabla hatujatafakali vizuri kinacho endelea atawekwa mwenzao madarakani - Empire ndio ina-evolve taratibu...

Ameshaanza kutangaza kuwa FDLR wamehamia Burundi!
 
BREAKING NEWZ

Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kupoteza maisha!

Vile vile inasemekana Nkurunzinza amerejea Burundi kwa usafiri wa helikopta leo alfajiri akitokea DSM, na kushuka ktk kijiji kilichoko mpakani mwa Tanzania na Burundi. Haieleweki ameelekea wapi baada ya kutoka ktk kijiji hicho! Ila mashuhuda wamesema msafara wa magari yapatayo kama sita ulikuja kumchukua kutokea katika kijiji hicho!!


Source. Reuters& France 24 english
 
du masikini warudi...naukumbuka wimbo wa Vital Maembe VUMA...kumbe haina hodi vita...
 
Ameshaanza kutangaza kuwa FDLR wamehamia Burundi!
Kazi ipo,lazima anatamani mtutsi akamate Burundi,halafu lazima atakuwa kaanza kuback up mapinduzi sema tu hajitangazi
 
duuuh cheki france chanel
live ni shidaaa watu wanahinjana
 
Kazi ipo,lazima anatamani mtutsi akamate Burundi,halafu lazima atakuwa kaanza kuback up mapinduzi sema tu hajitangazi

Hilo liko wazi si umemsikia eti anasema ishu ni "delivery", yani kwamba Nkurunzinza ni mzembe fulani hivi...
 
Hilo liko wazi si umemsikia eti anasema ishu ni "delivery", yani kwamba Nkurunzinza ni mzembe fulani hivi...
Watutsi ni wanafiki sana,anajidai kuwaambia watu wasizungumze ukabila ila moyoni ana ukabila sana tu,Huyo alieoongoza mapinduzi anatumiwa tu wakifanikiwa na yeye watutsi wanaomtumia watamtimulia mbali,Hivi Pierre Buyoya yupo wapi?Huyu alimuuwa Ndandaye,Melchior Ndadaye wasingemuuwa Burundi ingekuwa mbali kimaendeleo
 
Watutsi ni wanafiki sana,anajidai kuwaambia watu wasizungumze ukabila ila moyoni ana ukabila sana tu,Huyo alieoongoza mapinduzi anatumiwa tu wakifanikiwa na yeye watutsi wanaomtumia watamtimulia mbali,Hivi Pierre Buyoya yupo wapi?Huyu alimuuwa Ndandaye,Melchior Ndadaye wasingemuuwa Burundi ingekuwa mbali kimaendeleo

Hebu cheki mwenyewe hii historia:

"Since its independence from Belgium, Burundi has been confronted with ethnic violence between the Hutu majority and Tutsi minority, as in its neighboring country, Rwanda.


Between 1959 and 1962 an estimated 50,000 Hutus were killed by the Tutsi Government. In 1972, the Tutsi army murdered an estimated 150,000 Hutus, including nearly all educated Hutus, in an attempt to "decapitate" the Hutu leadership. This was clearly a genocide, but no government protested. In 1988 another 25 000 Hutus were killed at Ntega and Marangara in northern Burundi, in massacres personally investigated by the President of Genocide Watch.


Peace talks led by Burundi President Buyoya resulted in the first multi-party elections in Burundi. However in 1993, Melchior Ndadaye, the first Hutu president of the country, was murdered. His assassination set off a 12-year civil war, marked by a downward spiral of revenge killings that some have called a "bilateral genocide" by the two dominant groups against each other. This bilateral genocide killed an estimated 300,000 people in Burundi, mostly civilians.


After difficult peace talks mediated by Nelson Mandela, with behind the scenes support from peacemakers like former US Congressman Howard Wolpe, the situation was somewhat stabilized when elections were organized in 2005. The main Hutu former rebel group FDD won and Pierre Nkurunziza became president. In May 2008, the government and the last active rebel group FNL signed a ceasefire."

source: Genocide Watch

sasa leo:

1. Profile ya wanaoandamana ni hii:

"Those close to the president emphasise the heavy Tutsi presence within civil society and the independent media, both of which are often very critical of the CNDD-FDD, and they note that the protest hotspots in Bujumbura in recent weeks are predominately Tutsi districts."
Habari full: Burundi crisis threatens to awaken ugly Tutsi-Hutu ethnic tensions, as protestors defy order and return to streets | Mail & Guardian Africa

2. Rais wa Rwanda hakubaliani na wenzake wa EAC kuhusu kuheshimu katiba yeye anasema 'wananchi hawamtaki', wananchi gani?

3. Rwanda ina mashushushu nchini Burundi na ndio wana coodinate vurugu. https://www.jamiiforums.com/interna...andan-national-on-suspicion-of-espionage.html

4. Rwanda tayari imeshasema eti FDLR wamehamia Burundi na wanataka ku-destabilize Rwanda. Sote tunajua kitakachofuata ni RDF kujifanya FDLR wamevamia Rwanda from Burundi halafu waingize majeshi yao kwenda kupunguza wahutu.
 
jMali inauma sana,Mungu aisaidie Burundi isiingie kwenye mapigano,ila kusema ukweli watutsi lazima watumie huu mwanya kushika dola Burundi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom