Yani Viongozi wa Africa sijui wakoje.
Tatizo la jesh wanapokea amri kama mbwa, kumtii Piere ni ujinga mtupu
Soon itakuwa vita ya kikabila ' a Hutu vs tutsi'
Jeshi limegawanyika, asubuhi hii mapigano makali sana yamezuka mji mkuu wa Burundi kati ya wanajeshi watiifu kwa Rais na wale watiifu kwa Jenerali aliyepindua...mapigano hayo yanalipotiwa kuzuka karibu na State media house ambayo toka jana ilikuwa chini ya watiifu wa Rais...
===========================
Chanzo:BBC
Wanajeshi wanaounga mkono mapinduzi na wale wanaomtii Nkuruzinza nchini Burundi wamerushiana risasi kwenye kituo cha TV cha Taifa. Pia milipuko imesikika sehemu mengine za Bujumbura.
Itabidi tumuonye pia Mbowe juu ya madhara ya kuinajisi katiba yetu, ameinajisi ili awe mwenyekiti wa kudumu, mie sioni tofauti yake na Nkurunzinza, wote ni walafi sana wa madarakaItabidi Zitto Aende Haraka Sana Ndugu Zake Wanamalizana
Itabidi Zitto Aende Haraka Sana Ndugu Zake Wanamalizana
Tarifa yako nyepesi sana bana.
Soon itakuwa vita ya kikabila ' a Hutu vs tutsi'
Major jenerali Niyombare amefanya haraka sana kutaka kupindua nchi!lazima viongozi waanze kukubaliana wenyewe huko jeshini halafu askari wadogo pia wakubali na lazima majeshi yote,idara zote zakiusalama zikubaliane ndipo mapinduzi yatafanikiwa.
Yeye alidhani itakuwa rahisi kidizaini hiyo!waliojaribu kufanya mapinduzi ni bora tu wakimbie nchi mapema kabla hawajanyongwa!!