Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Naomba kueleweshwa kidogo: Naelewa Pierre Nkurunzinza ni mteule wa chama cha CNDD - FDD, kama hicho chama kikiamua kubadilisha mteuzi wake wa ugombea urais kwa kumuondoa PN na kuweka mwingine, mvutano si utaisha?
 
Watutsi ni wanafiki sana,anajidai kuwaambia watu wasizungumze ukabila ila moyoni ana ukabila sana tu,Huyo alieoongoza mapinduzi anatumiwa tu wakifanikiwa na yeye watutsi wanaomtumia watamtimulia mbali,Hivi Pierre Buyoya yupo wapi?Huyu alimuuwa Ndandaye,Melchior Ndadaye wasingemuuwa Burundi ingekuwa mbali kimaendeleo

Piere Buyoya yupo South Africa katulia kimya anakula bata tuu.
 
Hivi hawa warundi hawatumiagi smartphones, mbona wamejifungia namna hii kimawasiliano?

Hakuna hata tweet, no Facebook, sasa hata wakianza kuchinjana tutajuaje tukawasaidie???
 
bado nakumabia waasi wameshachukua nchi. kwa sasa wameshatwaa kituo cha redio na television. Hoa watiifu kwa nkurunzinza ni polisi tu. wanajeshi wote na kambi zote za kijeshi zenye silaha wapo nyuma ya mapinduzi.

Rudia tena???kazi ishaisha huko
 
Watutsi ni wanafiki sana,anajidai kuwaambia watu wasizungumze ukabila ila moyoni ana ukabila sana tu,Huyo alieoongoza mapinduzi anatumiwa tu wakifanikiwa na yeye watutsi wanaomtumia watamtimulia mbali,Hivi Pierre Buyoya yupo wapi?Huyu alimuuwa Ndandaye,Melchior Ndadaye wasingemuuwa Burundi ingekuwa mbali kimaendeleo

Usimsahau Bizimungu...kazeekea jela tu pamoja na kupewa urais kivuli.Kosa lake hakujua ni urais kivuli akataka awe Rais wa kweli, cha moto alikiona.

Mwenzake Twageramungu saiz yupo uhamishoni pamoja na mwanzoni kupewa Uwaziri Mkuu kivuli.
 
Naomba kueleweshwa kidogo: Naelewa Pierre Nkurunzinza ni mteule wa chama cha CNDD - FDD, kama hicho chama kikiamua kubadilisha mteuzi wake wa ugombea urais kwa kumuondoa PN na kuweka mwingine, mvutano si utaisha?

Kwa hali ilipofikia sasa Nkurunzinza anapaswa aendelee, mahakama ya katiba iliishatoa uamuzi.Kilichobaki ni uchaguzi, warundi waamue kama wanamtaka aendelee au wamkatae kwenye karatasi ya kura.Naamini anaweza akaacha huo uchaguzi ata usimamiwe na UN wakitaka, maana ana uhakika atashinda asubuhi na mapema.

Hawa wahuni wachache wameshaharibu move kubwa iliyofanywa na waandamanaji.
 
Usimsahau Bizimungu...kazeekea jela tu pamoja na kupewa urais kivuli.Kosa lake hakujua ni urais kivuli akataka awe Rais wa kweli, cha moto alikiona.

Mwenzake Twageramungu saiz yupo uhamishoni pamoja na mwanzoni kupewa Uwaziri Mkuu kivuli.
Hivi serikali ya kagame ina mawaziri Wahutu kwenye wizara nyeti?
 
The main problem in burundi is ehnical no matter how they will attempt to lower down the violence till they will strike and riote due to some and mistreatment of few people who got nothing from her country rather starvation
 
CE-lbJuWEAISz9d.jpg
 
Hivi serikali ya kagame ina mawaziri Wahutu kwenye wizara nyeti?

Angalia wamarekani walivyosema kwenye wikileaks, hawa ni wamarekani sio wabongo:

"An analysis of the ethnic breakdown of the current Rwandan government shows Tutsis hold a preponderant percentage of senior positions. Hutus in very senior positions often hold relatively little real authority, and are commonly "twinned" with senior Tutsis who exercise real power. The military and security agencies are controlled by Tutsis, generally English speakers who grew up as refugees with President Kagame in Uganda. The 28-member cabinet is evenly split among Tutsis and Hutus, but most key ministries are in the hands of Tutsis"

full document inapatikana hapa: https://www.wikileaks.org/plusd/cables/08KIGALI525_a.html

Ingawa muda umepita lakini hali ni kama vile vile tu.
 
Naomba kueleweshwa kidogo: Naelewa Pierre Nkurunzinza ni mteule wa chama cha CNDD - FDD, kama hicho chama kikiamua kubadilisha mteuzi wake wa ugombea urais kwa kumuondoa PN na kuweka mwingine, mvutano si utaisha?

jawabu ni ndio.
 
Angalia wamarekani walivyosema kwenye wikileaks, hawa ni wamarekani sio wabongo:

"An analysis of the ethnic breakdown of the current Rwandan government shows Tutsis hold a preponderant percentage of senior positions. Hutus in very senior positions often hold relatively little real authority, and are commonly "twinned" with senior Tutsis who exercise real power. The military and security agencies are controlled by Tutsis, generally English speakers who grew up as refugees with President Kagame in Uganda. The 28-member cabinet is evenly split among Tutsis and Hutus, but most key ministries are in the hands of Tutsis"

full document inapatikana hapa: https://www.wikileaks.org/plusd/cables/08KIGALI525_a.html

Ingawa muda umepita lakini hali ni kama vile vile tu.

Aisee..!! Majority wanaish kwa kinyongo, RWANDA Itakuja kulipuka tena.
 
siungi mkono mapinduzi ila nashukuru limekuwa somo kwa ving'anganizi wengine kama Museven. Cha msingi kwa sasa ni kukaa meza moja na kumaliza tofauti zote.
 
Mkubwa nadhani kwenye nchi inayongozwa kidemokrasia wanajeshi wanatakiwa kutii civilian administration. By the way, Pierre Nkurunziza ni rais halali hadi uchaguzi mwingine utakapofanyika. May be it is inappropriate kuwaita wanajeshi mbwa, bila kujali amri wanapokea kutoka kwa nani.

ninachomaanisha wanapokea amri bila kuquestion na hapo ktk wanaomtii rais pengine sio wote wanakubaliana nae ila ndo amri washapewa na mkuu wa jeshi, sijawaita mbwa ila mefananisha nidhamu yao kwa mkuu wao kama ilivyo kwa mbwa
 
Back
Top Bottom