Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Nkurunzenza kesha chelewa hata jeshi lake likishinda vurugu hazita isha
 
mes prieres vont tout droit te ma famille o burumdi,a mes amis et tout les burundais. ALLAH est avec vous.
 
Mambo bado magumu kule burundi na kwa habari toka kwenye mbalimbali zinasema kwamba usiku kulikuwa na mapigano kati ya jeshi lililopindua nchi na wanajeshi watiifu wa former president Nkuruzinza, pia haijulikani huyo rais yupo sehemu gani japo inasemekana baada ya ndege yake kushindwa kutua bujumbura alirudi Tanzania. Ila serikali yake inasema kwamba mapinduzi yamefeli na wapo kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa nchini burundi
 
Huu uchu wa madaraka hata hapa kwetu Tanzania, unaweza kutufikisha kama yanayotokea Burundi.
 
[h=1]What you need to know about the Burundi coup[/h]
  • Africa
  • Thursday 14 May 2015 - 9:26am


  • Protesters celebrate in Bujumbura May 14, 2015. The head of Burundi's army says an attempted coup has failed and forces loyal to Nkurunziza are in control, a day after another general said he had sacked Nkurunziza. REUTERS/Goran Tomasevic Photo: Reuters


Coup leaders in Burundi claimed Thursday to be in control of most of the capital Bujumbura. "We control virtually the entire city. The soldiers who are being deployed are on our side," coup spokesman Venon Ndabaneze told AFP during a lull in fighting mid-morning.
AFP is reporting that President Pierre Nkurunziza has gone into hiding in Dar es Salaam in Tanzania.
Nkurunziza has tweeted that he is returning to the country soon and appealed for calm, saying the army Is in control of the situation.
Former head of intelligence and ambassador to Kenya, Major General Godefroid Niyombare, declared a coup against Nkurunziza on Wednesday. This was immediately denied by the presidency and the chief of the defence forces, but the announcement was followed by celebrations in the streets.
 
Kwa source za vyombonvya habari vya kimataifa ni kiwa hakuna tena serikali ya kiraia pale burundi..hata kama jeshi tiifublitashinda nchi ishaaribika ni vigumu sana kukaa sawa.kwa mtazamo ni kuwa nkurunziza alishindwa kuforeseen na kudetect the out come ya maamuzi yake aliyoyaamua kwa weredi wa nchi kama yake..Swala likishakuwa la kijeshi mi ngumu sana kukaa sawa kwa mda mfupi.ikumbukwe general aliyepindua alikuwa pia mkuu wa idara ya usalama ya nchi ya Burundi kwa zaidi ya miaka kumi since 2005 -2015 february.
 
Hivi sisi wa Afrika sijui tumelaaniwa na nani... Kuna raha gani kua kiongozi na mihela mingi, huku ukiwa na maadui, na nchi na wananchi wakiwa kwenye hali mbya ya kimaskini. Badala ya kuongoza nchi kwa heshina na upendo, na nchi na wananchi waka pata maendeleo, Nchi ikapendeza. Hata kama tutasoma vipi na kupata vyeti vingapi bado akili za kiafrika ni za ajabu tu. Wenzetu walionendelea huko kwao hakuna resource kama tulio kuwa nayo hapa afrika lakini wanazidi kupanda juu kimaendelea na sisi tunabomoa

Viongozi ndio wamelaaniwa
 
Jeshi limegawanyika, asubuhi hii mapigano makali sana yamezuka mji mkuu wa Burundi kati ya wanajeshi watiifu kwa Rais na wale watiifu kwa Jenerali aliyepindua...mapigano hayo yanaripotiwa kuzuka karibu na State media house ambayo toka jana ilikuwa chini ya watiifu wa Rais...

===========================


Chanzo: BBC

Kama waliompindua wakielenewa nishaandaa jeshi la sungusungu kwenda kuongeza nguvu hadi huyu Kenge tumpe hifadhi kisiwani Chumbe.
 
CE8vpz-VEAEfcFU.jpg
.
wamechafukwa.....

duuu, huko kwa hawa ndugu zetu ni balaa, Amani yetu kweli tuilinde
 
Huyu Godefroid siyo mtu mdogo katika siasa za burundi. Kumbukeni kuwa alishawahi kuwa Spy chief, na CDF in a row kabla ya kuhitilafiana na mwajiri wake.
 
Kwani kipindi cha pili cha Nkurunzinza kilitakiwa kuisha lini?
 
redio 2 za binafsi zilizotumika kutangaza mapinduzi zilichomwa moto usiku na wanaokisia kuwa polisi usiku.
riport zilizopo ni kuwa redio private zote hazipo hewani
 
US still recognizes Nkurunziza asBurundi's president amidcoupattempt bit.ly/1H4WTcp
 
Kama airport na mpika yote inalindwa na waasi je hao askari watiifu kwa nkurunzisha wana lao hapo?
 
uchu wa madaraka sio mzuri akubali kuachia ngazi nchi irudi kuwa na amani kama hakujipanga akiwa madarakani aje tusaidiane kuangaika mtaan
:lock1:
 
Major jenerali Niyombare amefanya haraka sana kutaka kupindua nchi!lazima viongozi waanze kukubaliana wenyewe huko jeshini halafu askari wadogo pia wakubali na lazima majeshi yote,idara zote zakiusalama zikubaliane ndipo mapinduzi yatafanikiwa.

Yeye alidhani itakuwa rahisi kidizaini hiyo!waliojaribu kufanya mapinduzi ni bora tu wakimbie nchi mapema kabla hawajanyongwa!!

Umeongea jambo la maana sana, hii movie toka mwanzo hawakujipanga.

Saizi inabidi wanegotiate wakajisalimishe ubalozi wa Marekani
 
Huyu Godefroid siyo mtu mdogo katika siasa za burundi. Kumbukeni kuwa alishawahi kuwa Spy chief, na CDF in a row kabla ya kuhitilafiana na mwajiri wake.

Na Nkurunzinza sio mtu mdogo pia, aliishakuwa kiongozi wa waasi.Urais wake hajaupata mtaani, CV aliitengenezea msituni.
 
Kama airport na mpika yote inalindwa na waasi je hao askari watiifu kwa nkurunzisha wana lao hapo?

Toka jana nilikwambia, issue ilikuwa bado sana kuconclude


Kwa taarifa yako sehemu zote muhimu sasa zipo chini ya wanajeshi watiifu na uwanja wa ndege umeishaanza kufanya kazi
 
Kwa source za vyombonvya habari vya kimataifa ni kiwa hakuna tena serikali ya kiraia pale burundi..hata kama jeshi tiifublitashinda nchi ishaaribika ni vigumu sana kukaa sawa.kwa mtazamo ni kuwa nkurunziza alishindwa kuforeseen na kudetect the out come ya maamuzi yake aliyoyaamua kwa weredi wa nchi kama yake..Swala likishakuwa la kijeshi mi ngumu sana kukaa sawa kwa mda mfupi.ikumbukwe general aliyepindua alikuwa pia mkuu wa idara ya usalama ya nchi ya Burundi kwa zaidi ya miaka kumi since 2005 -2015 february.

Uzuri Nkunlrunzinza sio raia tu ni kamanda wa jeshi, na ameishaongoza vikosi vya kijeshi kwa muda mrefu.Hivyo ata kutawala kijeshi hakutamsumbua.Experience tayari anayo.
 
Back
Top Bottom