New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,922
- 3,863
Unaijua fringe mkuu ...!!??hivi kuna series ingine kali kushinda hii ya 24 hours?
Unaijua fringe mkuu ...!!??hivi kuna series ingine kali kushinda hii ya 24 hours?
Wabongo kwa uongo.kwny Sept 11, 2001 George Walker Bush ilibidi akafichwe anga la mbali kwa saa 6 baada ya shambulizi la World Trade Centre ndege mbili zilipiga nguzo, Pentagon ilipiga moja na moja ikaanguka ikieleka White house ikabidi Airforce one impeleke Rais anga la mbali kwa saa 6 bila ya kujulikana yuko wapi mpaka hali iliporejea salama. Rais wa Marekani ndio kiumbe hai anaelindwa zaid Ulimwenguni kwa ulinzi wa kibinadamu!
Wabongo kwa uongo.
Kama kimeandikwa na wamerekani usipoteze kabisa muda bora sex magazineInawezekana usemacho kina ukweli au laa ila huwezi kutambua uongo wa jambo kama ukweli wake huujui! Soma kitabu "Bush at War" sikumbuki Author wake utakuta mengi sana zaid ya hayo niliyoeleza!
Kama kimeandikwa na wamerekani usipoteze kabisa muda bora sex magazine
Hahaha...naona umemchoka!!!Nashukuru kwa Mchango na mawazo yako!
Afu ulinzi wa hiyo White House mi siuelewagi kabisa, ni kama wako makini zaidi na magaidi wakubwa tu. Kuna kipindi flani muhuni mmoja alirukia fence mpaka wale askari waje kumshtukia jamaa yupo ndani ya fence tayari... Sasa nasubiri kuona siku korea kaskazini watakavyoingia kirahisi kama wazoa taka kama ilivyo kwenye movie ya 'Olympus has fallen'
Hapana mkuu labda niitafute.Inahusu nini?Unaijua fringe mkuu ...!!??