Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,027
- 14,921
White house is down
Sasa hapo ameona ninivwakati yeye ameongelea kilichotokea na kilichopo?Nimependa maneno yako. Unaona mbali
Watu wanafanya rehearsal ya namna ya kuingia Ikulu.Afu ulinzi wa hiyo White House mi siuelewagi kabisa, ni kama wako makini zaidi na magaidi wakubwa tu. Kuna kipindi flani muhuni mmoja alirukia fence mpaka wale askari waje kumshtukia jamaa yupo ndani ya fence tayari... Sasa nasubiri kuona siku korea kaskazini watakavyoingia kirahisi kama wazoa taka kama ilivyo kwenye movie ya 'Olympus has fallen'
...is not down but on lock downWhite house is down
Na Olympus has fallen zilitaka kuwa real?White house is down
Ndio na-imagine hapa au wanatuchezea akili hawa watu...Na Olympus has fallen zilitaka kuwa real?
Mh.
Kuna nini huko tena.??
Au na wao watamtumbua Kitwanga wao huko??
kwny Sept 11, 2001 George Walker Bush ilibidi akafichwe anga la mbali kwa saa 6 baada ya shambulizi la World Trade Centre ndege mbili zilipiga nguzo, Pentagon ilipiga moja na moja ikaanguka ikieleka White house ikabidi Airforce one impeleke Rais anga la mbali kwa saa 6 bila ya kujulikana yuko wapi mpaka hali iliporejea salama. Rais wa Marekani ndio kiumbe hai anaelindwa zaid Ulimwenguni kwa ulinzi wa kibinadamu!
chai tu hizo alikuwa kwenye mkutano huko huko marekani..kwa taarifa ako tu ule mpango wa kulipua majengo alikuwa anaujua vyema kabisa..
watafute kina rockafella watakuambia
General Juma.si yule aliyetoboa kwa chini?Ebana eeh ? Na ulinzi wote huo na mbwembwe sijui za manowari ,madege ya kivita akiwa nje ya Marekani ,lao wanamtisha nyumbani kwake anapolala
Kumbe yale mambo ya Genaral Benjamin Juma na Olivia Taylor kwenye 24 series yanawezekana
Yeah ndio yeye MkuuGeneral Juma.si yule aliyetoboa kwa chini?
hivi kuna series ingine kali kushinda hii ya 24 hours?Yeah ndio yeye Mkuu