Milio ya Risasi Yasikika Nje ya White House USA

Milio ya Risasi Yasikika Nje ya White House USA

Haya sasa....kumbe 'USA Baby' nako haya yanatokea?
 
kwny Sept 11, 2001 George Walker Bush ilibidi akafichwe anga la mbali kwa saa 6 baada ya shambulizi la World Trade Centre ndege mbili zilipiga nguzo, Pentagon ilipiga moja na moja ikaanguka ikieleka White house ikabidi Airforce one impeleke Rais anga la mbali kwa saa 6 bila ya kujulikana yuko wapi mpaka hali iliporejea salama. Rais wa Marekani ndio kiumbe hai anaelindwa zaid Ulimwenguni kwa ulinzi wa kibinadamu!

Nimependa maneno yako. Unaona mbali
 
Afu ulinzi wa hiyo White House mi siuelewagi kabisa, ni kama wako makini zaidi na magaidi wakubwa tu. Kuna kipindi flani muhuni mmoja alirukia fence mpaka wale askari waje kumshtukia jamaa yupo ndani ya fence tayari... Sasa nasubiri kuona siku korea kaskazini watakavyoingia kirahisi kama wazoa taka kama ilivyo kwenye movie ya 'Olympus has fallen'
 
Obama hakuwepo White House. Mtuhumiwa amepigwa risasi na security service anapumulia mashine akipona jasho litamtoka
 
Dah nilitamani hao nguruwe waliomo mule wachinjwe wote, ila ipo siku tu
 
Kwa taarifa za ghafla zilizo ufikia ulimwengu ni kwamba kuna milio ya Risasi nje ya Ikulu ya Marican. Walinzi wa Ikulu wameeleza kushtukizwa na tukio hilo na FBI na CIA wapo kazini.

Nitawajuza kadri nitavyopata taarifa.

Updates
......................................................
Police told ABC News that a Secret Service agent shot an armed man at a security checkpoint near the building.

The White House is on lockdown in response to the shooting. President Barack Obama was golfing in Maryland at the time.

Police said the shooting occurred west of the White House and the victim's condition is not known.

The victim is being transported to a local hospital with critical injuries, authorities have said.

Vice President Joe Biden was in the White House at the time.

Source: BBC News

Goodluck Mshana


Safi sana, tuacheni sie wa huku Bongo tulale.
 
Hii habari ni ile ya wakati ule au hii ni Mpya?
 
Back
Top Bottom