Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Hapo Tatizo kwenye kutoa Cash 16,000,000/=

Mkuu tuwekee Mchanganuo wa mahesabu tofari za ujazo gani? Za aina gani na cement mfuko mmoja unatoa tofari ngapi? bei ya kokoto,Mchanga,Nondo ukubwa na idadi, na ni kiasi gani hutumika bei ya kuchimba shimo la vyoo n.k kenchi mbao ngapi na ngapi zitatumika... Bei ya wire, Mabomba ya Maji,Sink za kunawia,Kujisaidia na kuogea, Rangi gani unatumia kupendezesha nyumba, na uzio tofari ngapi na hizo hapo chini vigae visivyo tereza uwanjani, Vigae tereza vya ndani ya nyumba,Ceiling unatumia nini na kama pia kuna ceiling fan au full house ventilation system isiyotumia exhaust fan moja au mbili n.k Tujue kama bei inaendana au vipi maana makonctractor Mnamvyomfanyia Magufuli acha tu hadi uhakiki halisi wa bei ufanyike... pesa ngumu kupotea kirahisi
Karibu ofisini mkuu ukiwa kama mteja wetu unahaki ya kukagua material zitakazotumika kujengea nyumba yako wew unajiuliza kwa nini garama ni ndogo hii ni kwa sababu kampuni ina shamba la mbao, inakiwanda kidogo cha kutengeneza mabati, ina mashine za kisasa za kufyatulia matofali na vingine ndo maana waona garama zetu ni rafiki karibu sana
 

Aisee! Idea nzuri ila jipange kwanza! Tafuta wataalam wakushauri na kukupa mwongozo!
 
Wanataka kuipiku National Housing Corp..

Wazo zuri,mi mwenyewe nilitamani sana kudeal na Real estate bussines,
very good business
 
Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote

Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea www.one2one.com pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa

View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
Hiyo website mbona "not available?"
 
Nina mashaka na quality za materials watakazotumia.
Usiwe na mashaka bosi maana kwenye ujenz utashirikishwa kila kitu hadi material tunazotumia kukujengea na utaruhusiwa kuona wakati zikiezekwa na kuzikagua hofu ondoa ata ukitaka kufika site ruksa kabisa
 
Wanataka kuipiku National Housing Corp..

Wazo zuri,mi mwenyewe nilitamani sana kudeal na Real estate bussines,
very good business
Akili yako inawaza mbali mkuu Mungu azidi kukufunua naona umeweza kutusoma kwa haraka
 
Kwa iyo Gharama, haiwezekani kujenga nyumba ya namna iyo ikakamilika. I'm talking from experience, because i'm an Architect by professional.
 
Back
Top Bottom