Milango ya Mitondoo

RaJhumoR

Member
Joined
Mar 1, 2021
Posts
37
Reaction score
45
Ebwana, Habari wana JamiiForum

Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake

Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua

Kwa bei, Mlango mmoja ni 100,000 na mlango wa Chuma ni 150,000

Narudia ipo kwenye good condition na ishapakwa rangi, Mlango uko full na vitasa vyake

Wasiliana nami number 0672 303307 niko Tabata Sanene/Barakuda
 

Attachments

  • Screenshot_20250617_122829_Gallery.jpg
    604.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250617_122829_Gallery.jpg
    604.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250617_122819_Gallery.jpg
    156.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250617_122813_Gallery.jpg
    152.8 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…