Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Naisubiri hyo
 
Naona Wayahudi wametumia kalamu kuudanganya ulimwengu,
watu milioni sita si mchezo ni zaidi ya DSM.
 
Up
Samahani ila achakuandika umende hapa...... Unaibuwa hasira kali....take care usishangae ukaswakwa mpaka ulipo nakupotea pasipokumbuka ulipost huu ujinga...
Acha vitisho na mikwara huyo katoa maoni yake maana ni jukwaa huru hili na ili debate inoge lazima kuwepo na pande mbili za hoja au ulitaka asupport tu kila kitu hta kma hajaridhika
 
Naona Wayahudi wametumia kalamu kuudanganya ulimwengu,
watu milioni sita si mchezo ni zaidi ya DSM.
Na sio mara moja tu hata baada ya mapinduzi huko urusi walidai waliuawa wayahudi million 6!!! Najiulizaga hivi kila anayeua wayahudi huwa anaua million 6??? Wakati wayahudi ulaya kipindi hicho hawakufika hta million 8

Ni kweli waliuawa ila hawafiki million 6 ni upotoshaji mkubwa
 
Kwanini jamaa kila wanapoenda wanachukiwa?
Sababu kila wanapoenda wanatawala sekta zote muhimu hivyo wazawa either wivu au chuki lazima ziwakute.... Tokea enzi za jacob kwenye biblia hilo lilionekana maana kila alipoenda alikuwa anapata utajiri na ushaiwishi mkubwa hadi kuchukiwa na wenyeji wa miji aliyopita
 
Si warudi kwao kiherehere cha kwenda nchi za watu nn,ndo maana wananyooshwa,
 
Kama unajua KISWAHILI...utukumbuke na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajua KISWAHILI...utukumbuke na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri isiyo rasmi lakini.

Maangamizo hayo hayakufanyika kwa idadi iyo.
Hitler hakuweza kukusanya Wayahudi wengi ivyo (zaidi ya milioni sita, kwa sababu 6m ni idadi ya wale waliouawa, sio waliotekwa) huko Ulaya kwa muda huo mfupi tu.
Hakuwa na njia iyo na labda uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa hili andiko bahati nzuri hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…