Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

wayahudi argentina wapo wangapi na marekani wapo wangapi? embu tuanzie hapo tafadhali
 
US wako wayahudi milioni sita na argentina wako around laki mbili acha kupiga watu sound.

Jewish population by country - Wikipedia
 
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Lini sasa utauleta huo uzi?
 
Sasa mbona ile movie ya escape from sobibor wanaonesha kuwa leon hakufa na alifanikiwa kutoroka?
Haya mengine ni maigizo tu yenye sehemu fulani fulani ya uhalisia, labda mtunzi aliamua kuwafariji kidogo watazamaji kwa kumsifu huyo shujaa kwamba hakufa
 
Ooh my God, huwa natafakari binadamu aina ya Hitler kwa nini waliumbwa na Mungu akawaachilia kupata maharaja, dah! !!
Kila darasa lina mtihani wake, hayo pia ni maisha kwa upande mwingine hapa duniani
 
Daaaah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Duniani hapa hapa kuna jehanamu!

lakini nilisikia wayahudi walikua ni watu weusi ,mbona hao weupe??
 
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Uzi wenyewe unaitwaje mhe, kma upo tayari ni hook faster.
 
Asante kwa uzi hapa naelewa kwanini ile movie ilichezwa maana niloona karibu miaka 17 iliyopita nikiwa sielewi
 
Yaani kumbe ile movie ya Escape from Sobibor walificha mambo mengi sana!!! Yaani mateso walioyapata yanaumiza sana kiyasoma!
Hitler alikua shetani in the flesh kwa kweli.
 
Hakika wayahudi kamwe hawawezii kumsahau Hitler
 
Daaaah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Duniani hapa hapa kuna jehanamu!

lakini nilisikia wayahudi walikua ni watu weusi ,mbona hao weupe??
Hawa ni kamba tu walowezi wa ulaya. Wakamtengenezea hitler kashfa ya uongo.
Mbona wamarekani hawasemagi waliua native american aka red indians wangapi huko USA.....Number inatisha but wameficha wako busy kudanganya na media zao kuwa hutler ndio katili
 
Niliiangalia tena juzi kati hapa yaani nililia kama mtoto... [emoji26][emoji26][emoji26]
Ni kamba zile za wazayuni.....vita ya ulaya wenyewe kwa wenyewe wakampa zigo la uongo hitler
 
Kwa kweli hawa wajukuu wa Ibrahimu kwa mateso waliyopitia duniani wanastahili kuwa na Taifa lao na miji yao. Mungu ataendelea kuibariki Marekani, Uingereza, Ufaransa kwa kuwatetea hawa watu waliokuwa wanateketezwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…