We pia umemdhalilisha kumuweka humu Jf!!!Sikatai ni kweli anavutia .... but ndo awekwe MTUPU hadharani? ....
Wanaizalilisha= wanaidhalilisha.Kweli mkuu! Serikali iwaambie Wamasai waache kujizonga mashuka na kutembea na magongo. wavae nguo zinazovaliwa na dunia ya leo wanaizalilisha Tz.
Yaani wewe ndo umemuweka MTUPU hapa hadharani, hlf unajifanya kulialia...!? Khaa!!! Pamb****fff kabisa, ebo!!!Sikatai ni kweli anavutia .... but ndo awekwe MTUPU hadharani? ....
Mbona na wewe unaziendeleza
UKIJUA NN MAANA YA TAMADUNI au culture na thamani yake huwezi fikilia hilo, kwa kuwa una base kwenye tamaduni za watu wengine(wazungu) ndio maana unaona hilo,,,, huwezi linganisha mbuzi na nguruwe eti nani mnono
mbona wanaojifunika gubigubi ni mashoga na waathirika?Wapi huko uliishi mkuu?