Mila Potofu

Eeh ndio inavotakiwa ujue hao huwa wanaongea sana kikao kitakuwa kirefu bila sababu

Ikifika stage ya ndiyo au hapana ndio mna mfungua
 
Eeh ndio inavotakiwa ujue hao huwa wanaongea sana kikao kitakuwa kirefu bila sababu

Ikifika stage ya ndiyo au hapana ndio mna mfungua
Mnapomfungua ktk stage hiyo ya ndio au hapana .... mtakuwa mmemshirikisha kivp?
 
Mnapomfungua ktk stage hiyo ya ndio au hapana .... mtakuwa mmemshirikisha kivp?
Si kasikiliza mkuu, tungemziba maskio hapo ingekuwa ni hatari ila kuzungumza ni mambo ya kuokoa mda
 
Hii yanikumbusha story ya "Three Suitors One Husband" ... mwandishi Oyono G. Mbia anaandika .... " ... since when do women speak in mvoutessi?

Wa jinsia ya kike wote walizibwa midomo to be able to express their feelings and give their opinions .... lakn Juliette akapangua huo mtazamo
 
Reactions: MC7
Wanawake mkiwapa kuongea hawakawii kuchafua hali ya hewa
 
Women's position in decision making? Roles of women in society? And then women right??
Aaah
Hizo ni theory tuu unazisoma darasani tu ufaulu
Hata USA kwenyewe hawafanyi wanayo yaongea. Wana miaka 200 hawajawahi eka rais mwana mke awa amulie mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…