Mila na Tamaduni

Mbona hawajawachapa viboko hao wazungu,si nasikia uarabuni ukifanya mapenzi hadharani wanakulamba bakora,na hiyo milango hapo nilivyoitazama imefanana kabisa na uhandisi ya kiarabu..
 
Hao jamaa wa kulia ni marehemu watalajiwa kwa maana mmoja wao anakitu kiunoni
wakikumbatiana tuu kinalipuka
 
ila kama vile wanawatamania eeeh, sasa ndio hio wafanyeje sasa imani hairuhusu...siuji kama ni kweli lakini
 
Mi naona kama hamna chochote kipya coz hawa wamelala na wengine wanasubiria issue zao. SIMPLY LIKE DAT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…