CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Thanks God its Friday
Hamjambo
Back to Topic: Nchi yetu ya Tanzania imejaaliwa kuwa makabila mengi sana zaidi ya mia moja kama sikosei. Katika haya makabila huwa kuna mila na desturi mbalimbali ambazo mtu akifanyiwa huwa anaona kama amepewa heshima ya pekee.
Mfano: Katika kabila nitokalo mimi, mkwe akienda kusalimia kwao na mkewe huandaliwa uji wa aina fulani ambao umetengenezwa kwa unga wa ulezi na mafuta ya ng'ombe, Almaarufu kama "Ikirunguri cha Bhairwa" yaani mkwe akipewa huu uji huwa anakuwa amapewa HESHIMA ya PEKEE. Hiyo ni kifungua kinywa.
Baada ya hapo atapewa togwa "Ubhusara" tena kichwaji hiko kitakuwa kimewekwa kwenye "Ikisonzo" (nimekosa kiswahili chake) wakati akisubiri chakula cha mchana.
Chakula cha mchana anapikiwa ugali wa Udaga, ugali huu utakwua umepikwa kwa kutumia unga wa mtama uliochanganywa na muhogo, Pia ugali huu ukitengwa mezani utakuwa umeweka namna hii.
ugali huu utaliwa kwa nyama ya ng'ombe au mbuzi bila kusahau "Kichuri" pembeni.
HAYA MNAWEZA KUTUPIA CHAKULA AMBACHO NI CHA HESHIMA AU JAMBO LOLOTE LA HESHIMA AMBALO MGENI ANAWEZA KUFANYIWA PINDI AFIKAPO NYUMBANI
CL