Mil 18 kwa ajili ya kununua kondomu,

Mil 18 kwa ajili ya kununua kondomu,

BabaRita

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
448
Reaction score
256
Nashukuru sana kwa bunge kuthamini utamu wa pachupi,kwa kutenga donge nono kwa ajili wa watu kuendeleza mgegedo,wadau sasa naamini si ujinga wala ubwege mimi kumnunulia subaru mamarta huku mi nikitembelea vitz,jamani acheni pachupi ni za thamani balaa,inabidi uwe na mshiko wa kutosha kuitunza.
 
bunge linajua tume ile ya kutibua tibua inapenda papuchi
hukuona yule mama anatoka povu kuwatetea tume?
labda nae ana mtu wake kwenye hiyo tume au ni mfaidikia kwa njia moja ama nyingine.
eti hata kenya walifanya hivo hivo hawa wa tume wanajitolea tu hawafaidiki..
kujitolea kwa million 19 kwa mwezi? na hela za papuchi juuu??? dah bongo raha sana
 
Toka lini mtu mdogo akainfluence mshiko mpaka ukatoka? Viongozi wenyewe wanajijua juu ya kugegeda ndio maana lazima waweke za kuvutia wa....... Kama kawa Katiba haindi bila kuchakachua mgegedo kama dom vile kipindi cha hoja.
 
Back
Top Bottom