Mikutano ya Vyama vya Siasa kuundiwa Kanuni ya Makatazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano ya Vyama vya Siasa kuundiwa Kanuni ya Makatazo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Aug 4, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF kutokana na Chadema kufanya Mikutano yenye Mvuto kwa Wananchi,Serikali kupitia ngazi za Juu za (ccm)Uongozi Zimemuamuru Msaliji(kada wa ccm)wa vyama vya siasa Kutengeneza Kanuni itakayokataza vyama vyote vya siasa kufanya mikutano kwa Uhuru(mlengwa ni M4C)kwani mikutano hiyo imekuwa ikihatarisha Amani ya Nchi na kuzoa wana chama wa vyama vingine.,kwa mujibu wa mtoa Nyeti hizi Msajili atawaita makatibu wakuu wote na kuwapa kitabu cha Kanuni ya Mikutano ambayo haita Mruhusu mtu asiye wa Mkoa fulani kuvuka mkoa na kuhutubia Hadhara bila kibali maalum cha Msajili.
  Haya ni maagizo toka juu nawasilisha
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,466
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa...
  magamba wanatapatapa.
   
 3. real thinker

  real thinker Senior Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  wataiona mbombo magamba hata watumie njia yoyote wanayoona inafaa they must knw that the end of their domination in tz is soon to be end up and m4c wil take the position for better lives and management of tanzanians.
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwa katiba ipi ya nchi au sheria ya mtanzania kwenda popote kwenye nchi hii ili mradi havunji sheria imesha kufa,Kwa hiyo serikali inakubaliana na sera ya majimbo je itakuwa hivyo na kwa mwenyekiti wa CCM yaani huu utawala hauna tofauti na ule wa makaburu una nyonga sana haki za wananchi
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Hii serikali ni ombaomba, na moja ya masharti inayopewa itembezapo bakuli lake, ni kuheshimu utawala bora. Wakileta hii nasi tusisite kuwashitaki kwa hao bwana zao (wafadhili) kwamba wanakiuka haki za binadamu na kutoheshimu utawala bora.
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wakaongee na Gadafi atawapa mbinu huko aliko.
   
 7. i

  iseesa JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hilo nimeliona leo nilipopita Morogoro. FFU kutoka Dar wametanda kila kona ya Manispaa kuzuia Mikutano ya CDM. TAFAKARI: Police wa kulinda mikutano ya vyama hakuna kama alivyodai RPC Moro, lakini wa kuzuia mikutano ya vyama kinzani wapo wa kutosha na nimeshuhudia leo!!!
   
 8. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hiyo haipo wala haiwezekani.Ina maana mwenyekiti au katibu wa chama haruhusiwi
  kutembelea matawi ya chama?Huyu msajili akicheza watu watazaa nae.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  yaani ni marufuku kwa rais kufika kaskazini?
   
 10. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raisi nae itabidi awe na pass ya kuvuka mkoa.!! ccm wamefilisika ubunifu hadi busara,wanajiona wanahati miliki na nchi hii.
   
 11. D

  Deofm JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa, nadhani mtakumbuka kauli ya Joshua Nasari pale Arusha hadi akalazimika kuifuta na kuomba msamaha. wakileta hili hata watumishi wa umma na viongozi kama wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurungenzi wa halmashauri nk watalazimika kuwa wazaliwa katika mikoa husika. Tulianza na sumu ya udini, naomba sana hii ya ukabila tuiache kwani hakuna atakayesalimika.
   
Loading...