Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kumbuka vikao vya aina hiyo kila mtu hawezi kuongea na matatizo yanaweza kuwasilishwa kwa njia ya maandishi na yakapatiwa utatuzi.Basi hakukuwa na sababu ya kuitisha. Wangesubiri mpaka muda uruhusu. BTW 1. mbona wasanii wamechukuwa muda mrefu kufanya mambo yasiyo na umuhimu? 2. Je unajua kuwa mikutano na waandishi ni moja ya kazi muhimu na za lazima za rais?