Ama anaogopa kutengua kauli ya mwendazake, au hakua amejiandaa kuulizwa swali hilo.Wapinzani gani hawa akina salary slip na mmawia? Kwanza sio watanzania
Uchumi wetu ukikua sana ni 7% sasa utasubiri mpaka lini?
Ama anaogopa kutengua kauli ya mwendazake, au hakua amejiandaa kuulizwa swali hilo.Wapinzani gani hawa akina salary slip na mmawia? Kwanza sio watanzania
Mimi sijawahi kufanya mkutano wa kisiasa hata siku moja. Umeulizwa: mbona wakati wa Magufuli ilikuwa imepigwa marufuku lakini wawekezaji wakakimbia?Mama kasema wazi kabisa, mikutano yenu imejaa vurugu hivyo itakimbiza wawekezaji
Bavicha fanyeni kazi uchumi ukue, hayo mamikutano yenu hayana maana kabisa..ama anaogopa kutengua kauli ya mwendazake, au hakua amejiandaa kuulizwa swali hilo.
..uchumi wetu ukikua sana ni 7% sasa utasubiri mpaka lini?
Hakuna mwekezaji aliyekimbia, ukiona kuna aliyekimbia ujue huyo ni mwizi.Mimi sijawahi kufanya mkutano wa kisiasa hata siku moja. Umeulizwa: mbona wakati wa Magufuli ilikuwa imepigwa marufuku lakini wawekezaji wakakimbia?
Bavicha fanyeni kazi uchumi ukue, hayo mamikutano yenu hayana maana kabisa
Umeulizwa. Hiyo mikutano haikuwepo, tena mpaka ya ndani, mbona uchumi ulianguka mpaka mama Samia kakiri kuwa tulikuwa kwenye hali mbaya? BTW hujui hata aliyoyasema kwani amesema kabisa kuwa tangu aingia madarakani idadi ya wawekezaji imekuwa mara mbili kuliko mwaka jana.Hakuna mwekezaji aliyekimbia, ukiona kuna aliyekimbia ujue huyo ni mwizi.
Ila kwa sasa bavicha tufanye kazi kwa bidii uchumi upande, hiyo mikutano yenu ni upuuzi
Vyovyote vile uchumi kwanza, hiyo mikutano yenu kafanyieni kwa sultan..miaka 6 ambayo Magufuli alizuia mikutano mbona uchumi haukukua?
..na mama kusema anataka uchumi ukue, au wawekezaji waje / warudi, maana yake anaituhumu awamu ya 5 kwa kuporomosha uchumi, na kufukuza wawekezaji.
Uchumi ni muhimu kuliko taarabu zenu za majukwaaniUmeulizwa. Hiyo mikutano haikuwepo, tena mpaka ya ndani, mbona uchumi ulianguka mpaka mama Samia kakiri kuwa tulikuwa kwenye hali mbaya? BTW hujui hata aliyoyasema kwani amesema kabisa kuwa tangu aingia madarakani idadi ya wawekezaji imekuwa mara mbili kuliko mwaka jana.
Vyovyote vile uchumi kwanza, hiyo mikutano yenu kafanyieni kwa sultan
Nauliza kipindi cha Magufuli hakukuwa na mikutano, mbona uchumi haukukua?Uchumi ni muhimu kuliko taarabu zenu za majukwaani
Uchumi wa kati ulitufikisha wewe?Nauliza kipindi cha Magufuli hakukuwa na mikutano, mbona uchumi haukukua?
Ratiba labda inabanaMkutano uliofanyika ulikuwa na upungufu mmoja mkubwa. Watu kuanza kwa kuuliza maswali yote halafu anajibu na hakuna maswali ya follow up. Nadhani walifanya hivyo makusudi ili kumuokoa kwenye maswali magumu kama hili.
Basi hakukuwa na sababu ya kuitisha. Wangesubiri mpaka muda uruhusu. BTW 1. mbona wasanii wamechukuwa muda mrefu kufanya mambo yasiyo na umuhimu? 2. Je unajua kuwa mikutano na waandishi ni moja ya kazi muhimu na za lazima za rais?Ratiba labda inabana
Hawezi kuruhusu mikutano huku anatoa tahadhari ya korona.Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo...
Wewe nikkwa2 badilisha heading yako. Nani kakuambia mikutano ya hadhara hairuhusiwi.Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo...
jibu hoja, acha mikwara. kuna mtu alikuwa na mikwara na mapolisi leo yupo wapiSasa anzishehi hiyo mikutano muone