Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

JF siku hizi imejaa ngumbaru kila mahali kiasi kwamba inaboa kuingia humu.

Unaelewa kuwa haki ya mikutano ya kisiasa siyo tu kwamba ni haki ya kikatiba bali ni universal declaration of human rights?

Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?

Unamshobokea mtu anaevunja katiba ambayo ameapa kuilinda?Wewe ni tahira?
View attachment 1833925
Hakuna haki ya kufanya mikutano ya hadhara, Kama mnabisha fanyeni muone
 
Hakuna haki ya kufanya mikutano ya hadhara, Kama mnabisha fanyeni muone
Tanzania huwezi kunyang'anya watu haki zao halafu ufike mbali.Yule bladifakenii wenu aliekuwa anajiona mungu wa kunyan'ganya watu haki zao yuko wapi sasa hivi?Si tumeshamfukia?Hata huyu tutamfukia atuachie Taifa letu.
 
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo.
Ngojeni kwanza tupae kiuchumi, wawekezaji waje wengi.
Kama chama hamna wabunge fanyeni vikao vyenu vya ndani.
Mama kanyaga twende..........
#kazi iendelee#

Naunga mkono hoja
 
Haya sawa, je kwani nyie mna wabunge? Au wale 19??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie kina Nani. Mi mimeku correct heading yako tu. Haya ya nyie sijui sie yametoka wapi. Dude! grow up. Wewe ni DC tayari.
 
..ama anaogopa kutengua kauli ya mwendazake, au hakua amejiandaa kuulizwa swali hilo.

..uchumi wetu ukikua sana ni 7% sasa utasubiri mpaka lini?
Mama hapo kateleza. Labda tumpe the benefit of doubt...hakujiandaa kwa hilo swali. Lakini inakuwaje sensitive issue kama hiyo raisi hajiandai kwa majibu? Maana lazima ataulizwa tu.
 
Tanzania huwezi kunyang'anya watu haki zao halafu ufike mbali.Yule bladifakenii wenu aliekuwa anajiona mungu wa kunyan'ganya watu haki zao yuko wapi sasa hivi?Si tumeshamfukia?Hata huyu tutamfukia atuachie Taifa letu.
Keyboard warrior, wewe fanya huo mkutano wa hadhara tuone
 
Mama hapo kateleza. Labda tumpe the benefit of doubt...hakujiandaa kwa hilo swali. Lakini inakuwaje sensitive issue kama hiyo raisi hajiandai kwa majibu? Maana lazima ataulizwa tu.
Wewe ni nani hadi umpangie raisi Cha kuzungumza? Nyambaaaaf kabisa
 
Wewe ni nani hadi umpangie raisi Cha kuzungumza? Nyambaaaaf kabisa
🤣 🤣
Take it easy id1ot. Kuwa raisi hakumfanyi awe malaika. Atakosolewa kama wengine.
Kama tuliweza kulikosoa lile jibwa la Kitulo na likazima, sembuse huyu.
 
Yaani Yule shetani Ali wabrainwash vibaya mno kiasi mmeharibikiwa
Hawa washauri wa Rais wetu hawamaaidii. Wamwambie akitaka hivyo njia rahisi ni kubadilisha kipengele husika kwenye Katiba aliyoapa. Anahitaji theluthi mbili tu za wabunge ambao karibu wote ni wa CCM. Rais hatakiwa kuwa ndiye anayeanzisha kuvunja Katiba ya Nchi. Wakati wa kubadilisha hicho kifungu ndipo ataeleza uhusiano kati ya mikutano ya hadhara ya wana siasa tu na kuvutia wawekezaji au kukua kwa uchumi. Ashauriwe asitamke tu ataumiza watu bila kukusudia kutokana na baadhi ya watekelezaji vilaza ambao hawajui kwanza Katiba na sheria pia inamhitaji kila mtekelezaji atekeleze amri ambayo ni halali.
 
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo.
Ngojeni kwanza tupae kiuchumi, wawekezaji waje wengi.
Kama chama hamna wabunge fanyeni vikao vyenu vya ndani.
Mama kanyaga twende..........
#kazi iendelee#

Hiyo baadae, ni baadae kweli. Wenye kazi ya kuzurura mikoani na operation faru John kazi wanayo.
 
Mama hapo kateleza. Labda tumpe the benefit of doubt...hakujiandaa kwa hilo swali. Lakini inakuwaje sensitive issue kama hiyo raisi hajiandai kwa majibu? Maana lazima ataulizwa tu.

..nakubaliana na wewe kuwa ameteleza.

1. Zuio lake ni kinyume na sheria na katiba.

2. Ameruhusu wabunge peke yao kufanya mikutano ya hadhara. Sasa kwa huku Tanganyika kuna mbunge mmoja tu toka upinzani.

3. Atatumia vigezo / indicator gani vya kiuchumi ili kuruhusu mikutano ya hadhara? Je, atatumia rate of unemployment, rate of gdp growth, ...

4. wapinzani sasa wataanza kumshinikiza afufue uchumi haraka ili mikutano iruhusiwe. Hoja ya uchumi mbovu na maisha magumu itaanza rasmi kutumika dhidi yake.

5. Uchumi wa Tanzania utachukua muda mrefu kutengemaa na wananchi kufurahia maisha bora. Unless kunatokea MIUJIZA. Atakapofungulia mikutano lawama za uchumi mbovu na maisha magumu zitakuwa ndiyo hoja za upinzani.

Cc Nguruvi3
 
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo.
Ngojeni kwanza tupae kiuchumi, wawekezaji waje wengi.
Kama chama hamna wabunge fanyeni vikao vyenu vya ndani.
Mama kanyaga twende..........
#kazi iendelee#

ameelezea vizuri sasa wakianza kuwekwa ndan wapige kelele sasa
 
Back
Top Bottom