profkobayashi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 224
- 71
mkuu this post was uncalled for... just read it againfake. Mnaongea nini zaidi ya kutuongezea machungu.... Tuacheni tutapambana wenyewe na mababu vikombe. Sioni maana ya diaspora kwenye uchumi. No figure for remittances, no any huge project you have brought. Naona watanzania walioko nje wengi ni wabinafsi wakija huku hanalala mahotelini simply because nyumba za baba zao au ndugu ni chafu... You are useless. Na hao officials wote wamekuja kufanya shopping to london na wapatekuhadithia tu wakirudi
fake. Mnaongea nini zaidi ya kutuongezea machungu.... Tuacheni tutapambana wenyewe na mababu vikombe. Sioni maana ya diaspora kwenye uchumi. No figure for remittances, no any huge project you have brought. Naona watanzania walioko nje wengi ni wabinafsi wakija huku hanalala mahotelini simply because nyumba za baba zao au ndugu ni chafu... You are useless. Na hao officials wote wamekuja kufanya shopping to london na wapatekuhadithia tu wakirudi
Nimeipenda hii nina jamaa zangu ni wasudantz,mwingine ni zimbabwe!wamejiripua namnyarwanda!tanzania shamba la bibi na wengi wanaoishi nje hawana status ya uraia na wengi wamejilipua kudai wakongo na wanyarwanda na wasomali ili wapewe uraia ulaya ma marekani. Mateka wa fikra
tanzania shamba la bibi na wengi wanaoishi nje hawana status ya uraia na wengi wamejilipua kudai wakongo na wanyarwanda na wasomali ili wapewe uraia ulaya ma marekani. Mateka wa fikra
tanzania shamba la bibi na wengi wanaoishi nje hawana status ya uraia na wengi wamejilipua kudai wakongo na wanyarwanda na wasomali ili wapewe uraia ulaya ma marekani. Mateka wa fikra
profkobayashi!
Sikubalini na wewe! Nimehudhuria mkutano wa mwaka huu.. Wembley Park. Kuna mambo mazuri sana nimejifunza pamoja na networking. Mzee wa Kilimo kwanza na jamaa wa PPF rafiki yangu Magori wametufumbua macho sana. Sasa wewe uliyekuwa unakuja kuvizia msosi bila kufatilia mkutano lazima uone hauna maana. Kuna ujinga wa wanatanzania kujiona sisi wana diaspora ni zaidi ya wale walio nyumbani. Yule dada alielazimisha apewe kazi sababu eti Yuko majuu! Katibu mkuu Alimjibu vizuri njoo na qualification na added value kazi zipo, serikali haikuwekei kazi enzi hiyo imepita. Mtu ana vyeti vya college vya metropolitan anajiona bora kuliko mwenye degree ya UD huu ni ujinga
Tuache kulalamika na Kujifanya vilema hatuwezi fikiria Kila kitu lawama serikalini....duuu niliboreka sana. Jitu kubwa kuuliza diaspora eti mizigo yangu haikufika? Oohhh kodi TRA sasa unawake usilipe kodi sababu untoka UK?
Kuna ujinga umetujaa vichwani! Serikali imefungua directorate ya diaspora pale foreign ministry mama Bertha Somi amefanya anachoweza pamoja na mh Membe badala ya kujadili issue mijitu inaongelea uzanzibara na ubara.....
Endeleeni kulalamika badala ya kutumia opportunities serikali inazozijenga.
Mch Masa K
Kweli Magori rafiki yako? na kama ni rafiki yako the ungejua anafanya kazi wapi
Kuhusu TRA, its obvious kuwa Kitilya alimtuma mjumbe wake ambaye watu waliiishia kumcheka na ilibidi asaidiwe na moderator kujibu maswali
Mheshimiwa Sanya alibring the house down kwa kuwapa ukweli
maana kama ni r
Kama nimeelewa koboyashi anasema kuwa PPF walifanya presentation lakini ya kwao haikuwa nzuri
Masanilo akajibu kuwa rafiki yake Magori wa PPF alifanya good presentation
Kobayashi akajibu kuwa kama Masanilo angekuwa ni rafiki yake then angejua anafanya kazi wapi (kwa maana kuwa Magori anafanya kazi NNSF na si PPF ) kama alivyosema Masanilo
Masanilo amejibu kuwa ni makosa ya uandishi wake
Kobayashi anasema huwezi kusema mtu rafiki yako na usijue anafanya kazi wapi
either way TRA mimi naona waliboa zaidi lakini jamaa wa Kilimo Kwanza alikuwa poa sana