Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,942
- 157,275
Usisahau michezoNi Jambo jema, Ni kwenda kujifunza Mambo mapya na kuongeza marafiki
Usisahau michezoNi Jambo jema, Ni kwenda kujifunza Mambo mapya na kuongeza marafiki
Ndiyo ni sehemu nzuri ya kuconnect na marafikiNi Jambo jema, Ni kwenda kujifunza Mambo mapya na kuongeza marafiki
Sehemu ikishakua na mrundikano wa watu wengi, kama kuna uwezekano wa kutokuwepo mimi huwa SIENDI.Kuna member wa jf jina smart huwa anasema...asante kwa taarifa, ndio imetoka hiyo
Watu 30 ni wengi?Sehemu ikishakua na mrundikano wa watu wengi, kama kuna uwezekano wa kutokuwepo mimi huwa SIENDI.
HakikaNdiyo ni sehemu nzuri ya kuconnect na marafiki
Wengi mnoooooo😂Watu 30 ni wengi?
Hahaha.. ebhana wee I hope hizo tent ni Imara sana.Ndio michezo mbalimbali hiyo😂
Lakini hamfahamiani unaogopa niniWengi mnoooooo😂
Hazinaga shida, ukitaka luxury tent ni pesa yako...hiyo ina hadi bafu ndaniHahaha.. ebhana wee I hope hizo tent ni Imara sana.
Bora tungekua tunafahamiana! Watu wapya ndo kabisaaa nakua uncomfortableLakini hamfahamiani unaogopa nini
Mbona unaipigia sana promo?Hazinaga shida, ukitaka luxury tent ni pesa yako...hiyo ina hadi bafu ndani
Hizi ndizo Akili za ujasiriamali,Safi kabisa!View attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Mimi ni mdau wa utalii, najua sana mambo hayoMbona unaipigia sana promo?
Ukiona safari ya kwenda kula, kuna misosi nyama kama zote, cake aina zote.. Nipe taarifa Mkuu😂Mimi ni mdau wa utalii, najua sana mambo hayo
TwenzetuWana jf twendeni tukatalii😋
Twende mkuu, tena ukiwa na wifi ndiyo itakua poa zaidiTwenzetu
Wifi yako anakosekana vipi sasa, ushawahi ona kichwa bila kiwiliwili.. Si utasema mzimu 😂🤣Twende mkuu, tena ukiwa na wifi ndiyo itakua poa zaidi
Sawa sawa hapo ni sawa tutikuona peke yako tunakutimua kwenye safari😀Wifi yako anakosekana vipi sasa, ushawahi ona kichwa bila kiwiliwili.. Si utasema mzimu 😂🤣