Mikumi National Park Tour

View attachment 2818763

MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS

(2 DAYS | 1 NIGHT)

*TAREHE 16-17th December 2023

GHARAMA, 155,000/=

SAFARI ITAANZIA DAR

ITAHUSISHA

-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali

SHUGHULI

- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo

For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Kulala ni wapi naomba kuona unadhifu wa rooms zenu
 
😂😂😂😂
unataka ukalogewe Kwa Msisi-Handeni..!??
🤣🤣 nimeandika kuzima cm tar 16 nikiwa nacheka sanaaa… maana nawaza nitakavyotafutwa na POLISI hiyo siku..

Em tumuulize mtoa mada wakitoka Mikumi wanaenda wapi? Havukishi watu maji? Atupeleke Znz 😂😂
 
Na kumbe tar. 16 itakuwa J'mos watu watakuwa huru manyumbani, yaani hiyo ndiyo rahisi, ni kupiga simu kwa majirani wote waliopo Njiro..!!
 
😂😂😂😂
Na kumbe tar. 16 itakuwa J'mos watu watakuwa huru manyumbani, yaani hiyo ndiyo rahisi, ni kupiga simu kwa majirani wote waliopo Njiro..!!
🤣😂🤣 sasa muda huo mm si niko na mtoa mada tunaelekea Mikumi?? Hamna jirani atakaye kuwa na taarifa nilipo, maana nitakuwa nmesepa Ijumaa na BM la jioni 😂😂😂😂
 
Ok ok.. hii haitonipita.
Karibu sana
Kulala ni wapi naomba kuona unadhifu wa rooms zenu
Tutafanya camping kwa kutumia tents, eneo lina huduma zote muhimu.
IMG_20231126_121302.png
IMG_20231126_121326.png
 
View attachment 2818763

MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS

(2 DAYS | 1 NIGHT)

*TAREHE 16-17th December 2023

GHARAMA, 155,000/=

SAFARI ITAANZIA DAR

ITAHUSISHA

-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali

SHUGHULI

- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo

For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Mbona cheap sana utatulaza wapi
 
Back
Top Bottom