Mikumi daraja limekatika na kusombwa na maji

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Wahandisi wetu wawekeww sheria ya kunyongwa hadi kufa. Wanahujumu Nchi na wanakosa uzalendo.

Mfano: Kutoka mikumi kwenda Wilayani Kilosa Mhenda dalaja limevunjika. Hili daraja halijamaliza miaka miwili toka lijengwe.
 
Wahandisi wana kosa gani kama Kampuni ni ya mtoto wa kiongozi? Anatumia standard na materials anazopenda yeye.

Watu wanawaza kupiga pesa Tu, kandarasi yenyewe utakuta asilimia 10 na middle men kibao.
 
Upo sahihi Mkuu maji yana nguvu sana ila ujenzi unataka taarifa sahihi za hilo eneo ili kujua daraja lianzie wapi na liishie wapi kama ni hivyo basi madaraja yote unayoyaona yakitumika yangeshaondolewa na maji kama walijenga sehemu ambayo maji yanaweza kufika..
Katika ujenzi kuna kitu kinaitwa Feasibility study(Upembuzi Yakinifu) and Engineeringdesign(Usanifu wa Kina -DED).

Ukiyafanya hayo Daraja aling'olewi hata chembe......Daraja la Kunduchi na Mbweni yaliondolewa na maji lakini baadae wamekuja kudesign upya na walivyoweka hata maji yaje vipi hayawezi kuling'oa.
 
Ila mkuu wahandisi wet wakija
Eneo la kazi hawsikilizi wenyeji
Wanafanya kile wanachokijua
Na elimu zao hawaulizi wapewe
Uzoefu wa mazingira shida
Sio maji wahusika wanajua
Kabsa ila hawawashirikishi
 
Katika ujenzi kuna kitu kinaitwa Feasibility study(Upembuzi Yakinifu) and Engineeringdesign(Usanifu wa Kina -DED).

Ukiyafanya hayo Daraja aling'olewi hata chembe......Daraja la Kunduchi na Mbweni yaliondolewa na maji lakini baadae wamekuja kudesign upya na walivyoweka hata maji yaje vipi hayawezi kuling'oa.
Mkuu unaweza kufanya hayo yote ukajua kiwango cha juu cha mvua eneo husika na tabia nchi lakini kuna siku moja tena kwa masaa mawili tu itanyesha mvua ambayo ni wastani wa mvua ya mwaka mzima. Daraja lutaondoka kama mliweka gogo.
 
Katika ujenzi kuna kitu kinaitwa Feasibility study(Upembuzi Yakinifu) and Engineeringdesign(Usanifu wa Kina -DED).

Ukiyafanya hayo Daraja aling'olewi hata chembe......Daraja la Kunduchi na Mbweni yaliondolewa na maji lakini baadae wamekuja kudesign upya na walivyoweka hata maji yaje vipi hayawezi kuling'oa.
Kuna madaraja mengi alijenga mjerumani mpaka
Leo yanadunda
Hivi huko kusini hali ikoje njia ya kwenda kilwa,lindi,mtwara hali si itakuwa mbaya zaidi

Ova
 
Wahandisi wetu wawekeww sheria ya kunyongwa hadi kufa. Wanahujumu Nchi na wanakosa uzalendo.

Mfano: Kutoka mikumi kwenda Wilayani Kilosa Mhenda dalaja limevunjika. Hili daraja halijamaliza miaka miwili toka lijengwe.
Hili daraja halijamaliza miaka miwili toka lijengwe🥺🤬
 
Wahandisi wana kosa gani kama Kampuni ni ya mtoto wa kiongozi? Anatumia standard na materials anazopenda yeye.
Ndio wanaofanya kazi. Tatizo si Kampuni bali mhusika
 
Kuna madaraja mengi alijenga mjerumani mpaka
Leo yanadunda
Hivi huko kusini hali ikoje njia ya kwenda kilwa,lindi,mtwara hali si itakuwa mbaya zaidi

Ova

Kwasasa upigaji mwingi sana ,daraja la kawaida ukiambiwa Bii kadhaa zimeondoka hauamini ,watu washapiga 50% wameenda kujenga majumba mbweni.
 
Back
Top Bottom