King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,891
- 95,200
Mbona madaraja waliojenga wakoloni hayajasombwa na maji mpaka walipokuja hawa wataalamu kuweka mapya?Mkuu unaweza kufanya hayo yote ukajua kiwango cha juu cha mvua eneo husika na tabia nchi lakini kuna siku moja tena kwa masaa mawili tu itanyesha mvua ambayo ni wastani wa mvua ya mwaka mzima. Daraja lutaondoka kama mliweka gogo.