Mikopo ya taasisi ndogo

Dukani

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,123
1,636
Naomba kufahamu Sheria zinazotumika kwa Taasisi ndogo za mikopo kama FINCA, Fanikiwa, SEDA, nk. Hizi taasisi zimekuwa zikishika vitu vya watu vya ndani bila hata ruhusa ya Mahakama.

Navyojua mimi Mahakama ndo yenye kurusu Mali au dhamani ya mkopaji kuuzwa, najua wanasheria mpo naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hizi taasisi aziuzi vitu! Wanakikundi mnaodhamiiana ndo wanauza! Ni wajanja ukiwashitaki wanakuruka!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom