DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habarini wadau,

Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!!

Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu ni kuwa imefika leo tarehe 18/06/2025 tokea asubui napigiwa simu nirejeshe mkopo leo na sms za vitisho tofauti na mkataba wangu wa mkopo!

Naomba serikali kupitia wizara husika ifanya ufuatiliaji wa hizi taasisi zinazokopesha mtandaoni na wasi wasi wangu pia ni taarifa binafsi sina hakika kama ziko salama!

Nawasilisha.
 
Natumai waliamua kutuma meseji hizo za vitisho na kukuchafua kwa watu waliopo kwenye sim yako ndani ya siku hio hio moja 😄
 
Block tu matapeli hao, ila ujiandae kisaikolojia wakianza kupiga simu ni kama mvua 🤣
 
Back
Top Bottom