Mikopo ya mashine

Mikopo ya mashine

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Habari zenu wana jopo.
Naandaa project ya kuzalisha bidhaa ndogo ndogo ni pate kipato na kutoa ajira kwa watanzania wenzangu, nime leta uzi huu kwenu kuomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata kampuni/ makampuni yanayouza na kukopesha machine za uzalishaji za bei ndogo Kati ya million 5 hadi 10. mfano mashine za kutengeneza chaki(sio SIDO), mashine za kutengeneza toothpick, mashine za kuzalishia vifungashio vya karatasi (sio plastic) nk. na pia zisiwe mashine za kilimo.

Natanguliza shukurani zangu.
 
c4b7e4989f00263564db5fc0bc1a02e5.jpg
2103edfe9bb378c74b86eded387fdf64.jpg
21aace5105a1450addad94528e12dd13.jpg
e9241b8f54968526615337b7ac33ab2d.jpg
 
Mkuu vp hawa jamaa unauzoefu nao kidogo, unipe mawili matatu
Kaka hawa jamaa mi nawafahamu mikopo yao inaanzia mil 20 na unatakiwa uweke down-payment ya asilimia 30% ambayo ni sawa na mil 6 ndo wanakupa vifaa sasa kama unaweza kupata mill sita si bora ukanunue tu mwenyewe.
 
Kabisa kka, hawa watu wanaandika matangazo sijui no collateral but ni stupid things
 
Back
Top Bottom