Wana message za vitisho hao hadi kwa wazaminiNdio maana niliamuwa kuwakomesha wanaokepesha online.
Hii njia waliotumia kufidia deni lao imevunja sheria.DK20 Zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu
wamekuja wah anajiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serkl za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada
Dada akagoma kufungua wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia wakamwona ..mjumbe akaomba afungue asiwe na wasiwasi khaaa yaliyofwata yanasikitisha sana
mdada alienda pembeni na mjumbe na wah kadhaa wakamsainisha makaraatasi,,kilichofwata ni kuita vijana waliokuja nao wakaanza na tv ya 42 in...wakafwata na makochi meza ya mable sebuleni,wakamaliza sebule nzima wakaona haitoshi mdada analia tu jamani...wakaenda chumban kwake ..wakabeba kitanda walitaka na godoro mjumbe akazuia..wakazoa kabati la mbeoooo jamani aisee
hiizi kamouni nani mmmiliki na nani anawapa jeuri kama hizi jamani....dada kabaki na vyumba vyake viwili na godoro analia analia analia kama kafiwa na wazazi wote siku moja
tuwe makiini mnaoenda kukopa wapendwa ..mikopo ndio mizuri mingine ina laana..mtaua wazazi wenu wakisikia mambo kama haya
rip mali za dada yangu rehema dah
Mkuu nitajie kampuni zinazokopesha online chapWana message za vitisho hao hadi kwa wazamini
Dhamana yako wakati unakopa hiyo Kausha damu ilikuwajeHii njia waliotumia kufidia deni lao imevunja sheria.
One pesa,pesa x ,Zima cashMkuu nitajie kampunzi zinazokopesha online chap
Vigezo vyao wanahitaji niniOne pesa,pesa x ,Zima cash
Upo utaratibu wa kufuata ikiwemo idhini ya mahakama na tena ikiwa mdeni atakiri hana uwezo tena wa kulipa wakati huo (huenda akaomba muda wa kulipa uongezwe na alipe kidogo kidogo kwa muda fulani).Dhamana yako wakati unakopa hiyo Kausha damu ilikuwaje
Lakini pia ,iangaliwe hao wanalipa Kodi au wanawakausha tu watu damu na hakuna la mana
Aliendika hivi huenda akawa anadaiwa balaa...๐คฃDawa ya deni kulipa
buza nini??DK20 Zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu
wamekuja wah anajiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serkl za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada
Dada akagoma kufungua wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia wakamwona ..mjumbe akaomba afungue asiwe na wasiwasi khaaa yaliyofwata yanasikitisha sana
mdada alienda pembeni na mjumbe na wah kadhaa wakamsainisha makaraatasi,,kilichofwata ni kuita vijana waliokuja nao wakaanza na tv ya 42 in...wakafwata na makochi meza ya mable sebuleni,wakamaliza sebule nzima wakaona haitoshi mdada analia tu jamani...wakaenda chumban kwake ..wakabeba kitanda walitaka na godoro mjumbe akazuia..wakazoa kabati la mbeoooo jamani aisee
hiizi kamouni nani mmmiliki na nani anawapa jeuri kama hizi jamani....dada kabaki na vyumba vyake viwili na godoro analia analia analia kama kafiwa na wazazi wote siku moja
tuwe makiini mnaoenda kukopa wapendwa ..mikopo ndio mizuri mingine ina laana..mtaua wazazi wenu wakisikia mambo kama haya
rip mali za dada yangu rehema dah
Aisee๐๐๐Aliendika hivi huenda akawa anadaiwa balaa...๐คฃ
Lipa au tukulipueAisee๐๐๐
Deni nilillonalo ni la songesha 4400 basi.
Halina stress hiliLipa au tukulipue
Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu
Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada
Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia wakamwona, mjumbe akaomba afungue asiwe na wasiwasi khaaa yaliyofuata yanasikitisha sana
Mdada alienda pembeni na mjumbe na kadhaa wakamsainisha makaraatasi, kilichofuata ni kuita vijana waliokuja nao wakaanza na tv ya 42, wakafuata na makochi meza ya mable sebuleni, wakamaliza sebule nzima wakaona haitoshi mdada analia tu jamani.
Wakaenda chumban kwake wakabeba kitanda, walitaka na godoro mjumbe akazuia, wakazoa kabati la mbao jamani aisee.
Hizi kampuni nani mmiliki na nani anawapa jeuri kama hizi jamani! dada kabaki na vyumba vyake viwili na godoro analia analia analia kama kafiwa na wazazi wote siku moja
Tuwe makini mnaopenda kukopa wapendwa, mikopo ndio mizuri mingine ina laana, mtaua wazazi wenu wakisikia mambo kama haya.
Rip mali za dada yangu.
Pesa X nadhani wakuchap ila kwenye kudai watakusumbua balaa but hawana inshuMkuu nitajie kampuni zinazokopesha online chap