Mikopo ya bank zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo ya bank zetu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Mar 11, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani WanaJF nisadieni tokea nianza kazi kama miaka mitatu iliyopita sijawai kuapply mkopo wowote. Nimesadia wafanyakazi wangu wa chini kupata mikopo kutoka kwenye bank moja ambayo ndo uwa wafanyakazi wetu wanachukua mikopo. This time nimeamua kuapply since Jan 28 but mpaka sasa hivi wananizungusha mara head of credit anaapprove mara tutakupa jibu kesho but kesho haifiki. Mara wanaaudit Net yangu ya mshahara cjui wananiona
  I need to make a move to see huyu head of Credit mana naona nazungushwa saana, Please wanaJF is this right move? Msaaada
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,118
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kwanza pole mkuu coz hizi taasisi zetu hapa bongo ni upompompo mtupu.

  Pili kwa kua umekua ukishughulikia wenzako na wao je wamekua wakipewa hizo 'njoo kesho' ambazo haziishi kama wewe unazopewa?

  Kama na wao wamekua wakizungushwa kama wewe basi hiyo benk ina matatizo makubwa sana. Na nakushaur onana uso kwa uso na huyo mkuu wao wa kitengo hicho cha loan na nakushauri pia kama una chance omba kuonana na hata branch manager uwaelezee uozo huo.

  Na kama wenzako wamekua wakipata loans chap chap ila wewe unazungushwa jua kuna kitu wanashindwa kukuambia. Tell them they should b open to u. Mimi sijui mambo haya fresh lkn moja ya kikwazo huenda ikawa ktk mkataba wako imebaki miaka michache say 1 au 2. Sasa kama unataka kopa pesa pana kidogo wanaogopa hawa watu kukupa coz mtu aliebakiza miaka mingi mathalani mi 5 au 4 ktk mkataba wake anakua na advantage zaidi. Hii nayo hebu icheki.

  Mwisho kabisa ungetuwekea openly jina la hiyo benki nasi walau tui-mark tu.
  Asante
   
 3. Celebrity

  Celebrity Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni PM ni bank gani niwashugulikie haraka wanataka rushwa. Pia kuwa na evidence kweli u have stayed that long witjout ur facility been approved
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,423
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  Una bifu lolote na huyo head? Pole
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Benki gani hiyo mkuu?? weka wazi
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Underlined, wenyewe waliapply in group hawakuapewa hizi pologo
  Red: mkataba wangu ni permanent
  Thanks for your advice
   
 7. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,414
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hawa credit officers wengi ni tatizo sana kwenye kutoa mikopo. Wanataka kwanza wapate kitu kidogo ndio walikimbize file lako! Kama huna sifa za kupata mkopo wangekueleza muda mrefu na sio kukuzungusha! Ndio maana walimu wanakwenda kwenye hizi taasisi za 48hours credit kama Blue Finance, Platinum etc ambazo riba ni hadi 100%!
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sina bifu na head of credit mana cjawai kuonana naye na simjui
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Nimefika wakati nikataka niwape kitu kidogo but nimesita nataka niende kwanza kwanye mstari mnyoofu kwanza then ikishindikana naweza kufuata more action. wenyewe wanajitangaza kuwa wanatoa mikopo in 5working days but this one is the disaster
   
Loading...