Mikopo CRDB na NMB

Kiukweli watanzania wengi hawana elimu ya fedha, wengi wanabishania riba wanasahau vitu muhimu ambavyo ukivikokotoa kimahesabu ni gharama kuliko hata riba
Benk inataka upitishie mshahara kwake kila mwezi je umewah kujiuliza maswali haya
1. Kila mwisho wa mwez gharama za kuendesha akaunt ni sh ngap?
2. Je kila unapotoa hela kwenye ATM gharama ni kias gan?
3. Je miamala unayofanya kwa simu gharama ni kias gan?
4. Je tawi lipo umbali gan na unapoish na unatumia gharama kias gani kulifikia?
5. Ikitokea umepitelewa na kutambulisho chako gharama ya kupata kingine ni kias gan na kwa muda gan? Na huo muda gharama za ndan ya benk ni kias gani?
6. Je kuna mawakala kias gan na wana uwezo kias gan na uaminifu kias gan na gharama za miamala zikoje?

My take: unaweza kuambiwa riba ni 14% lakina kwa miaka 3 ukawa umlipia gharama nyingi na kubwa kuliko hiyo 17% so kwa kulinganisha gharama na value added services NMB is the best!!!
 
Mwisho wa bandiko ndio ulikua Target yako,nahisi unapiga kazi nmb
 
Mwisho wa bandiko ndio ulikua Target yako,nahisi unapiga kazi nmb

Hiv vitu haviitaj uwe mfanyakaz ndio uelewe, ni ufuatiliaj tu wa mambo na udadisi kwa mfano nina account ya TZS bank A nina account ya forex bank B na nina saving account bank C kulingana na mahitaj yangu na unafuu na haraka ta huduma
 
Wasipoelewa hapa hawatokuja elewa tena.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hz fursa anazoziona leo wapo watu waliziona miaka 10 nyuma... kiufupi hata baada ya miaka 5 bado kuna fursa zingine zitahitaji kiasi hiki hiki cha pesa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…