Mikopo CRDB na NMB

Hii biashara ya simenti utafanya mwenyewe au utaweka mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wacha nife maskini kuliko maisha ya kukopa kopa. Una mshahara wa laki 4.2 halafu wachukue Nusu hapo mtu unaishi Dsm na familia mtatoboaje?
 
Wanakopa ili wapate nyumba,kazi enyewe hazina dhamana,ni Bora wawe na nyumba kuliko kukosa. Nyumba,Kuna watumishi walirambwa kipindi like hapa wilayani kwetu,hawakubabbaika saaana kwa kuwa walishakopa na kujenga nyumba,kwa hiyo familia zimebaki kwenye nyumba wao wamekwenda mbele kutafuta.
He wasingekua na nyumba familia zingekaa wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaaam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanda crdb processing fee na insurance ni ndogo ukilinganisha na NMB, pia riba ya crdb inapungua kadri deni linavyopungua tofauti na NMB
Sio kweli. Hata mimi nilidhani hivyo ila kiuhalisia ni uongo mtupu. Tafadhali usimpotoshe mleta mada.
 
Sio kweli. Hata mimi nilidhani hivyo ila kiuhalisia ni uongo mtupu. Tafadhali usimpotoshe mleta mada.
Mimi nimeenda kukopa ushahidi ninao, mwache na yeye aende akajionee tofauti, pia na wewe weka huo uhalisia wako, unless wewe ni staff wa NMBπŸ˜€πŸ˜€
 
Nilichogundua, wafanyakazi wengi wa serikali ambao mishahara yao ni kima cha chini ni ngumu sana kujenga au kufanya jambo lolote la maendeleo bila ya kuchukua mkopo. So kutegemea mshahara ni sawa na kurudi nyuma kimaendeleo hivyo ni afadhali kuchukua mkopo [emoji120][emoji120][emoji120]

[emoji2398]ᡃʳᡉᡉᡐ [emoji769]
 
Mimi nimeenda kukopa ushahidi ninao, mwache na yeye aende akajionee tofauti, pia na wewe weka huo uhalisia wako, unless wewe ni staff wa NMBπŸ˜€πŸ˜€
Mkuu au labda mimi ndio sielewi, pia mimi sio staff wa NMB na wala sifanyi kazi ya uhasibu.

Mfano, kama ulichukua 30m na makato ni 400,000 kwa mwezi, kwenye reducing rate natarajia kadri deni linavyoisha marejesho nayo yawe yanapungua!

Mpaka hapa niko sahihi?
 
ndio unavyokatwa marejesho yanapungua,. ila nilichomaanisha kwenye interest ni kwamba mfano NMB RIBA NI 17% Inazidishwa kwa miaka yote ambayo utakaa na fedha zao. But kwa CRDB ni kuwa riba itapigwa kadri deni linavyopungua kwa kila mwaka. I stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…