Mikono ya polisi si salama tena kama hapo awali

Mikono ya polisi si salama tena kama hapo awali

Kinacho jiri -
IMG-20171219-WA0001.jpg
Wakisubiri nyongeza ya MSHAHARA [emoji5]
 
Ehh Maulana Mola wangu tuhurumie walahi
 
Tanzania nzima tulimpa kura, hata Mbeya, dar es Salaam Na Arusha.
Matarajio yetu yalikuwa makubwa sana kuliko matokeo.
Tumeambulia disappointment tu
Na bado maana mnae huyo mpk mungu atakapo muitaji kwenda kuongoza malaika...
 
Unalipwa mshahara kwa kodi yangu
Unalipwa posho kwa kodi yangu
Unalipwa allowance kwa kodi yangu
Unakabidhiwa silaha unilinde badala yake silaha inakuwa kitisho
Unalazimisha raia awe amekosea ili atoe hela rushwa, asipotoa mateso, kesi na kupotezeana muda.
Hutosheki na mshahara, unakamata nagari na bodaboda wanaotafuta kaugali ka familia nazo unachukua kwa nguvu
Ukiamua wewe ndio mkweli raia kwako ni mkosaji tuu!
Hiiii kazi sijui mbinguni kuna polisi wangapi hali ni mbaya sana mtaani viongozi wa polisi wangefanya semina za Mara kwa Mara na vijana wao kuounguza nguvu kubwa na uonezi!
 
Tanzania nzima tulimpa kura, hata Mbeya, dar es Salaam Na Arusha.
Matarajio yetu yalikuwa makubwa sana kuliko matokeo.
Tumeambulia disappointment tu
Acha ujinga, kwa kinywa chake alisema watu was kanda ya ziwa ndio waliompa kura, Leo wewe unabisha ili iweje?
 
Jeshi la Polisi limekuwa katili sana linafanya litakavyo na haliguswi.

Kwasababu ndo linalotegemewa kwa sasa na uongozi uliopo.

Kubambikia watu kesi, rushwa zimeongezeka, wanaua na hakuna hatua inayochukuliwa.
 
Every action have equal and opposite reaction. Learn to play cool guys. Hawa jamaa ni jeshi. Unapokutana nao ukaleta kiburi watakudunda tu Lakini ukienda nao kwa upole sidhani kama hayo yote wanayolaumiwa yatatokea.
 
Ila kanda ya ziwa nyie si ndio mlie mpa zamana mkuu
sio wote. katika sehemu ambayo ccm walitoa pesa za kumwaga ni huko! haya sio maneno yangu ni maneno ya mtu aliyekuwa kwenye kampeni nilikutana nae igoma mwanza siku ya jumatano iliyopita
 
Every action have equal and opposite reaction. Learn to play cool guys. Hawa jamaa ni jeshi. Unapokutana nao ukaleta kiburi watakudunda tu Lakini ukienda nao kwa upole sidhani kama hayo yote wanayolaumiwa yatatokea.
waloshawahi kukukamata?
 
Tanzania nzima tulimpa kura, hata Mbeya, dar es Salaam Na Arusha.
Matarajio yetu yalikuwa makubwa sana kuliko matokeo.
Tumeambulia disappointment tu
Dar wangempa asingewabomolea.
Alishasema "Hawa ndio walionipa URAIS"
 
Jeshi la Polisi limekuwa katili sana linafanya litakavyo na haliguswi.

Kwasababu ndo linalotegemewa kwa sasa na uongozi uliopo.

Kubambikia watu kesi, rushwa zimeongezeka, wanaua na hakuna hatua inayochukuliwa.
Huyu wa juzi mbona hatua zmechukuliwa amefikishwa mahakamani kujibu
 
Polisi mi nmewasoma kitu kmoja...hawapendi mtu anaejifanya mjuaji na ukitaka kubishana nao tekeleza kwanza wanachosema wao alafu ndo uamshe dude. ukitaka kuwashinda cheza na vifungu vya sheria tu watakuwa wapole. Hawa jamaa ni polisi force sio polisi service
 
Inaitwa Tanzania police force not Tanzania police service, kwahyo usitegemee polisi wafanye kz zao km ma nesi
 
waloshawahi kukukamata?
Mara nyingi sana. Na wakati mwingine tuliokamatwa nao waliishia kula kipigo lakini mimi niliyeonyesha ushirikiano wala sikuguswa pamoja na kuhusishwa na kesi ya ujambazi wa kutumia silaha wakati fulani. Kwa hiyo naelewa ninachosema na kushauri dogo
 
Back
Top Bottom