DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,358
Iyo ndo polis mpya chini ya Jiwe ...
Sio kweli.Tanzania nzima tulimpa kura, hata Mbeya, dar es Salaam Na Arusha.
Matarajio yetu yalikuwa makubwa sana kuliko matokeo.
Tumeambulia disappointment tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Usithubutu kukutwa![]()
Zamani vilikuwa ni vituo vya usalama. Tuliozaliwa kanda ya ziwa Victoria tulikuwa tunasema Bora ukamatwe Na Polisi kuliko sungusungu.
Jeshi la jadi la sungusungu walikuwa hawana huruma. Wanapiga, wanted Na wanaua.
Salama ya wananchi ikawa ni kukimbilia Polisi.
Miaka ya juzi, Polisi wamekuwa wabambikiaji wa kesi, wasingiziaji, waporaji (rejea issue ya Zombe)
Siku za karibuni Polisi wamekuwa wauaji.
Mwangosi, Akwilina Na Heche Mungu awapumzishe kwa amani.
Polisi wa Leo ni Bora ukutane Na Kaka Jambazi maana majambazi hawapigi kipigo cha mbwa koko.
hamna kitu kama hcho mkuu police offivers wako trained kudeal na wahalifu wa aina tofauti,ukishasema eti ooh polisi nao ni binadamu,kuna mwngne atasema manesi nao ni binadamu,madaktari nao ni binadamu, yaan kila mtumishi atajifcha kwenye kivuli hcho huduma zetu za kijamii zitazidi kuwa nyuma tu.,,,,,,,,,.kila mtu afanye kazi yake kwa weledi na c kwa emotionsPolice nao ni binadamu wana mioyo kama yetu! Ukikamatwa acha dharau na maneno ya shombo. Tunawanyanyasa sana nao lazima wafanye ndivyo sivyo
Uliona siku ile lema anamtukana Gambo mbele ya Umma? Uliona siku ile henche alipokamatwa alivyokuwa anawatusi mapolisi? Pamoja na mafunzo ubinadamu upo pale pale! Ukimheshimu mtu akiwa afisini kwake ni jambo jema na linaepusha shari! Kweli unatakiwa kuwa na roho ya chuma kuvumilia kejeli na masimango ya baadhi ya wapinzani (ondoa mbowe na Lowasa etc). Hivi unadhani JPM angekutana ana kwa ana pengine North Korea mange na matusi anayomtukana kingetokea ninihamna kitu kama hcho mkuu police offivers wako trained kudeal na wahalifu wa aina tofauti,ukishasema eti ooh polisi nao ni binadamu,kuna mwngne atasema manesi nao ni binadamu,madaktari nao ni binadamu, yaan kila mtumishi atajifcha kwenye kivuli hcho huduma zetu za kijamii zitazidi kuwa nyuma tu.,,,,,,,,,.kila mtu afanye kazi yake kwa weledi na c kwa emotions
sasa kama alikua anatukana matusi si ndo wakamfungulie mashtaka huko! hivi kwani mtu akikutukana ukamtia ngumi akienda kukushtaki mahakama haitakutia hatiani kisa ww ni binadamu ulishndwa kuvumilia? kwann ww untk kuihalalisha huo ubinadamu kwa polisi kwan si wote inabidi tufuate sheria tu? anyway sema ndio hvyo kila mtu ana mtazamo wake mkuuUliona siku ile lema anamtukana Gambo mbele ya Umma? Uliona siku ile henche alipokamatwa alivyokuwa anawatusi mapolisi? Pamoja na mafunzo ubinadamu upo pale pale! Ukimheshimu mtu akiwa afisini kwake ni jambo jema na linaepusha shari! Kweli unatakiwa kuwa na roho ya chuma kuvumilia kejeli na masimango ya baadhi ya wapinzani (ondoa mbowe na Lowasa etc). Hivi unadhani JPM angekutana ana kwa ana pengine North Korea mange na matusi anayomtukana kingetokea nini
Si unaona hata yeye Polisi yupo ndani? Hasira hasara ila kumbuka yeye yupo ndani na Mbowe akiingia madarakani 2025 anaweza kusamehe wafungwa kama JPM alivyofanya kwa akina Nguza, akatoka. Ila huyo henche tutakutana naye mbinguni kama siyo motonisasa kama alikua anatukana matusi si ndo wakamfungulie mashtaka huko! hivi kwani mtu akikutukana ukamtia ngumi akienda kukushtaki mahakama haitakutia hatiani kisa ww ni binadamu ulishndwa kuvumilia? kwann ww untk kuihalalisha huo ubinadamu kwa polisi kwan si wote inabidi tufuate sheria tu? anyway sema ndio hvyo kila mtu ana mtazamo wake mkuu