Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,762
- 6,591
Zamani vilikuwa ni vituo vya usalama. Tuliozaliwa kanda ya ziwa Victoria tulikuwa tunasema Bora ukamatwe Na Polisi kuliko sungusungu.
Jeshi la jadi la sungusungu walikuwa hawana huruma. Wanapiga, wanted Na wanaua.
Salama ya wananchi ikawa ni kukimbilia Polisi.
Miaka ya juzi, Polisi wamekuwa wabambikiaji wa kesi, wasingiziaji, waporaji (rejea issue ya Zombe)
Siku za karibuni Polisi wamekuwa wauaji.
Mwangosi, Akwilina Na Heche Mungu awapumzishe kwa amani.
Polisi wa Leo ni Bora ukutane Na Kaka Jambazi maana majambazi hawapigi kipigo cha mbwa koko.